Yanga kutoshiriki Kagame Cup?

Yanga kutoshiriki Kagame Cup?

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
Kuna habari kuwa kombe la Kagame Yanga hatoshiriki.

Madai kwa namna moja mwaka jana aliwakataa yanga kutoshiriki baada ya hapo alitoa maneno makali sana na kuifedhuri yeye musonye anafikiri yanga ni timu ya binasfi hii timu ni ya wananchi wa tanzania na isitoshe mashindano hayo hayana manufaa yoyote
 
Ni lini hayo mashindano?nipe jibu nije na ushaur kwa mabingwa wa vpl chama la wananchi
 
Kisa Msuva na Ngassa hawapo Yanga nao jaman mbona shiiiiiiiiida
 
Chama la Wananchi wa Tanzania?? Labda useme baadhi

Mie mwananchi wa Tanzania ila hilo sio chama langu, Chama langu la Ukweli Lipuli ya Iringa
 
Chama la Wananchi wa Tanzania?? Labda useme baadhi

Mie mwananchi wa Tanzania ila hilo sio chama langu, Chama langu la Ukweli Lipuli ya Iringa
Nawewe kujitutumua kote huko ulitaka kuitaja timu yenu lipuli!!!!
Hebu tuambie chai inavunwa huko!! tangu lini wahehe wakacheza mpira!!!!
 
Kama ni kweli basi Musonye jasho litamtoka...

Sababu ya kuyaleta mashindano hayo Tanzani huwa ni kwa minajili ya kukusanya mapato mengi...

Mechi za Yanga ndizo huongoza kimapato...

Sasa wana jangwani wakiyakacha tena haya mashindano Musonye & co watavujwa hadi jasho l meno...
 
Nawewe kujitutumua kote huko ulitaka kuitaja timu yenu lipuli!!!!
Hebu tuambie chai inavunwa huko!! tangu lini wahehe wakacheza mpira!!!!

Kumbe wavuna chai hawachezi Mpira?? Ajabu

Acha mazereu joo
 
Mkuu wakimataifa tafadhali rekebisha kidogo, Yanga ni timu ya mtu mmoja kwa sasa yenye wafuasi wengi wananchi. Ni sahihisho tu mkuu.

Hayo mengine tunasubiri muda, ahsante.
 
Naamini Azam TV watarusha matangazo ya moja kwa moja, mtafuatilia mechi zote kwnye tv zenu, ni ushauri wangu kuwa hata wapenzi wa soka mlioko Dar msiingie kabisa uwanjani mapato yapungue hadi elfu 10,000/= tu kwa mechi, tuone hizo gharama za mashindano atazibeba nani.

Mwaka jana Yanga ilithibitisha kushiriki huko Kigali, Musonye kwa sababu zake mwenyewe akaiengua na kuwapa nafasi hiyo Azam FC, Yanga wasishiriki mashindano haya hadi Musonye atakapoachia ngazi.
 
Hivi huyu Musonye haiwezekani kumfanyia kama Nkurunziza?!

Yanga isishiriki tuone kama mwaka huu atapata hela za kuwahonga malaya,
Acha ishiriki mikia na lambalamba aone kama atapata hela kama anavyofikiria.
 
Kauli ya mwisho kuhusu Yanga itatolewa na mmiliki, kama kutakuwa na haja ya kuwaita wanachama basi wataitwa kupewa mrejesho kuhusu maamuzi ya mwenyewe.

Tuvute subira, itajulikana punde tu, mwenyewe atakata shauri.
 
Nasikia Yanga wanataka kumsajili Nkurunzinza eti kweli? :becky:
 
Back
Top Bottom