wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
Nawewe kujitutumua kote huko ulitaka kuitaja timu yenu lipuli!!!!Chama la Wananchi wa Tanzania?? Labda useme baadhi
Mie mwananchi wa Tanzania ila hilo sio chama langu, Chama langu la Ukweli Lipuli ya Iringa
Nawewe kujitutumua kote huko ulitaka kuitaja timu yenu lipuli!!!!
Hebu tuambie chai inavunwa huko!! tangu lini wahehe wakacheza mpira!!!!
Ni lini hayo mashindano?nipe jibu nije na ushaur kwa mabingwa wa vpl chama la wananchi
Na kama ni uongo?Kama ni kweli basi Musonye jasho litamtoka...
Hivi huyu Musonye haiwezekani kumfanyia kama Nkurunziza?!Naamini Azam TV watarusha matangazo ya moja kwa moja, mtafuatilia mechi zote kwnye tv zenu, ni ushauri wangu kuwa hata wapenzi wa soka mlioko Dar msiingie kabisa uwanjani mapato yapungue hadi elfu 10,000/= tu kwa mechi, tuone hizo gharama za mashindano atazibeba nani.
Mwaka jana Yanga ilithibitisha kushiriki huko Kigali, Musonye kwa sababu zake mwenyewe akaiengua na kuwapa nafasi hiyo Azam FC, Yanga wasishiriki mashindano haya hadi Musonye atakapoachia ngazi.
Na kama ni uongo?
Nawewe kujitutumua kote huko ulitaka kuitaja timu yenu lipuli!!!!
Hebu tuambie chai inavunwa huko!! tangu lini wahehe wakacheza mpira!!!!