Yanga kutoshiriki Kagame Cup?

Yanga kutoshiriki Kagame Cup?

Siwezi kukuongopea.

Sijacheza sana soka kwa kuwa ilitupasa kuchagua kati ya shule ama michezo... Hapa kwetu wachezaji wengi hawakupita shule kwa sababu hiyo.

Nimekuwa kocha wa timu za shule na chuo, na sasa niko kwenye utawala wa Soka la Bongo.

Mwenzangu umeshawahi kucheza?

Yeah, nimecheza sana huko mashuleni.Kuanzia Primary hadi O level. Baada ya hapo nikawa busy maana sikupata muda wa kujishughulisha na soka tena.
 
K.

Tusiharibu uzi wa watu. Hongera mchezaji mstaafu...
 
Asante, ila hatujaharibu maana tunazungumzia michezo na hasa soka ambalo ndilo hasa linalozungumziwa hapa.
Mimi sio mchezaji mstaafu, na hata sasa nacheza sana tu nikipata muda maana umri nao bado sana tu unadai.

Kwaheri Mphamvu. Uwe na jioni na weekend njema pia.
 
Last edited by a moderator:
nawaangalia tu mnavyojihemua bila sababu ya msingi...mihemko noma sana

Mhhhhhhh, hizi ni dalili za wivu na chuki.Si utuache tujihemue? Kwani umepungukiwa nini na kujihemua kwetu?
 
Wewe ndo uliyebatiza jikosi cha vijana jina la kikosi b...ndo nikakwambia kikosi b maana yake sio wachezaji vijana au watoto kama unavyowaita ww naona hujui unachoboshania...nyinyi mashabiki wa simba akili zenu anazijua rage...usini Quote tena hujielewi sipo tayali kubishana na mbumbumbu niyakesha hapa

mkuu...nimeenda na wewe kistaarabu sana mkuu...umeishia kutukana mno...kisa ni nini mkuu?

Mbona umepanic?

Mkuu.....Ni utaratibu wa Yanga kujiona ni exceptional hapa tanzania...kujiona kwamba ni wa tofautiii saaaana...lakini when it comes to mashindano..hasa ya kimataifa ni pumba tu
 
Mhhhhhhh, hizi ni dalili za wivu na chuki.Si utuache tujihemue? Kwani umepungukiwa nini na kujihemua kwetu?

hahahahahha...mkuu...ila mihemuko inaruhusiwa kwa wana Yanga...Ushauri tu...Yanga acheni dharau na majivuno-Yanga kama timu
 
Kwani Musonye aliizuia yanga kwa sababu zipi?

Je hazikuwa za Msingi?

Je CECAFA ni Musonye?

Yanga hamuoni mtakua mnafanya michezo ya kitoto au maamuzi ya ki balehe balehe?

Mkuu, Musonye huwa anaalika timu nje ya CECAFA na mara nyingi huleta vijana kuwapa uzoefu. Kuna ubaya gani Yanga kufanya hivyo?
Hao vijana bado ni Yanga hiyo hiyo. Je mwaka huu Yanga ikisema itawatumia vijana, Musonye atasema nini?
 
basi kila timu ipeleke vijana

Unajua kwa timu waalikwa thats explainable...ili kuchangamsha mashindano...huwezi kuwawekea conditions hizo

Tukubali kuwa kila mashindano lazima yawe na kanuni na ziheshimiwe
 
Kama timu imesajili wachezaji 25 kwa nini ipangiwe nani ashiriki? Mwisho Musonye atapanga first eleven!
 
kwa Yanga hilo lilikua tofauti...

Yanga haikuwa inapeleka kati ya wachezaji wale 25....

Kama ingekuwa ni kati ya wale 25 that would be fine.

Yanga ilikua inapeleka kikosi cha vijana yaani kikosi B wanaita......Mkuu...najua unajua vizuri hili swala.
 
hahahahahha...mkuu...ila mihemuko inaruhusiwa kwa wana Yanga...Ushauri tu...Yanga acheni dharau na majivuno-Yanga kama timu

Lazima tujivune bwana mabingwa wa kihistoria Tanzania unafanya mchezo nini?
Hii ndio raha ya kuchukua makombe makubwa makubwa sio ya mchangani...lol
 
Mkuu, Musonye huwa anaalika timu nje ya CECAFA na mara nyingi huleta vijana kuwapa uzoefu. Kuna ubaya gani Yanga kufanya hivyo?
Hao vijana bado ni Yanga hiyo hiyo. Je mwaka huu Yanga ikisema itawatumia vijana, Musonye atasema nini?

Mkuu huyo jamaa ni bingwa wa kutoelewa...utamaliza wino wa simu yako bure...muulize rage atakwambia
 
kwa Yanga hilo lilikua tofauti...

Yanga haikuwa inapeleka kati ya wachezaji wale 25....

Kama ingekuwa ni kati ya wale 25 that would be fine.

Yanga ilikua inapeleka kikosi cha vijana yaani kikosi B wanaita......Mkuu...najua unajua vizuri hili swala.
Wewe jamaa unaonekana sifuri kwenye michezo,....

Usipende kuzungumzia mambo usiyoyajua!!!!!
 
kwa Yanga hilo lilikua tofauti...

Yanga haikuwa inapeleka kati ya wachezaji wale 25....

Kama ingekuwa ni kati ya wale 25 that would be fine.

Yanga ilikua inapeleka kikosi cha vijana yaani kikosi B wanaita......Mkuu...najua unajua vizuri hili swala.

Mkuu unaonekana hujui kitu,hapa ni the home of great thinkers...kabla ya kuandika kitu uwe na uelewanacho ..na kama huna uwakika na wazo lako uwe tayari kuelishwa....hapa hakuna like za kijinga kama fb
 
Back
Top Bottom