Hizi mechi zinakua chini ya bodi ya ligi tofauti na zile za mashindano ya CAF.Nyuma Mwiko ndio wenyeji na ndio wanaoratibu karibia kila kitu kwenye maandalizi ya hii mechi.
Lakini si ajabu ukaona wakaingia uwanjani kupitia dirishani au wakiingia kinyume nyume.
Tatizo Simba sio wa kuwaamini. Kwa ushirikina wana Masters.Nyuma Mwiko ndio wenyeji na ndio wanaoratibu karibia kila kitu kwenye maandalizi ya hii mechi.
Lakini si ajabu ukaona wakaingia uwanjani kupitia dirishani au wakiingia kinyume nyume.
,[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Doublecarbohydrate airrandom spray.
Mwenyeji ndio mmiliki wa uwanja 100%..,??Na wao ndio wenyeji wa mchezo Simba sasa afanyeje wkt yy nimualikwa,means hata upande wa pili hakuko salama
Kama kuna fitna, nawaunga mkono Yanga. Waachane na hivyo vyumba.Huo unaitwa mpango mkakati...
Uwa unajua vitu vingi sana ila huwa unaongea kwa code!Hahahahaha wanakimbia ile 4-4-2 ?
Hahahahaha. Mkuu hii JF ya GT sio lzm viwe rahisiUwa unajua vitu vingi sana ila huwa unaongea kwa code!
Bahati nzuri nyie ndo mliandaa mchezo,so mliwahi pia kufika uwanjani..utopolo uloandika hapa sjui umeutoa wapi?Hongereni sana yanga kwa ku avoid 442.
Tungejikanyaga kuingia kwenye dressing room tungelegea kama jwaneng.