NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
- Thread starter
- #21
Hizi mechi zinakua chini ya bodi ya ligi tofauti na zile za mashindano ya CAF.Nyuma Mwiko ndio wenyeji na ndio wanaoratibu karibia kila kitu kwenye maandalizi ya hii mechi.
Lakini si ajabu ukaona wakaingia uwanjani kupitia dirishani au wakiingia kinyume nyume.
Ndio maana hata viingilio vinapangwa na bodi ya ligi.