Yanga kutumia helicopter kwenye parade la ubingwa wa 30

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta hiyo itashuka ndani ya Uwanja wa Mkapa na sisi Wananchi ndio Tutalipokea Kombe Letu, Niwaombe Mashabiki wa Yanga kuwahi mapema uwanjani tushuhudie Tukio hili kubwa la Kihistoria,” Ally Kamwe

#SisiNiMashahidiTu
#hallaywsmm[emoji1241]
1716459264314.jpg
 
Note: Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani......Kwa (makolo)[emoji23]
 
“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta hiyo itashuka ndani ya Uwanja wa Mkapa na sisi Wananchi ndio Tutalipokea Kombe Letu, Niwaombe Mashabiki wa Yanga kuwahi mapema uwanjani tushuhudie Tukio hili kubwa la Kihistoria,” Ally Kamwe

#SisiNiMashahidiTu
#hallaywsmm[emoji1241]View attachment 2997422
Hizo gharama siyo za msingi wakati issue ya Aziz Ki imetushinda bora tungechangia hana tumbakize Ki Azi
 
Aziz ki kapata ukubwa akiwa Yanga ...so Yanga watamtengeneza mwingine
 
“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta hiyo itashuka ndani ya Uwanja wa Mkapa na sisi Wananchi ndio Tutalipokea Kombe Letu, Niwaombe Mashabiki wa Yanga kuwahi mapema uwanjani tushuhudie Tukio hili kubwa la Kihistoria,” Ally Kamwe

#SisiNiMashahidiTu
#hallaywsmm[emoji1241]View attachment 2997422
Bahati mbaya kutakua na ukungu siku hio.
 
Back
Top Bottom