Yanga kutumia helicopter kwenye parade la ubingwa wa 30

Hizo gharama siyo za msingi wakati issue ya Aziz Ki imetushinda bora tungechangia hana tumbakize Ki Azi
Kwasasa Yanga inafanya biashara, na ndio msingi mzuri wa timu... Sio timu ya jeshi ile... Watu watakaa chini watapiga hesabu... Wakiona inalipa, si lazima kubaki na Aziz ki
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom