Yanga kutumia helikopta na basi la kisasa zaidi kwenye Parade

Yanga kutumia helikopta na basi la kisasa zaidi kwenye Parade

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta hiyo itashuka ndani ya Uwanja wa Mkapa na sisi Wananchi ndio Tutalipokea Kombe Letu, Niwaombe Mashabiki wa Yanga kuwahi mapema uwanjani tushuhudie Tukio hili kubwa la Kihistoria,” Ally Kamwe
 
Kuna ulazima wa kutumia hiyo Helkopta!! Hayo madude siyo poa hata kidogo. Kama vipi wabakie tu na hilo basi maalum.
Mkuu ni katika namna ya kuboresha burudani. Hawa jamaa siku wakibeba kombe huwezi jua watakachofanya nini kujaribu kukukera. Kwahiyo naona Yanga wafanye tu tena waongeze ubunifu zaidi
 
“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta hiyo itashuka ndani ya Uwanja wa Mkapa na sisi Wananchi ndio Tutalipokea Kombe Letu, Niwaombe Mashabiki wa Yanga kuwahi mapema uwanjani tushuhudie Tukio hili kubwa la Kihistoria,” Ally Kamwe
Huwa zinaanguka
 
Yanga wanajua mno kukera my wetu!! Hii ni best surprise ever!! Chopa itawakera mno makolo hadi wengine kulazwa, ila wasisahau kuja kwetu Buza Mpalanger!!

Hongera sana Ally Kamwe and company for this innovation!!

Ikumbukwe hili kombe linaenda kabatini kina Karai wachonge jingine!!
 
Nawaza siku Simba wakibeba kombe sijui watatufanyaje 😅😅😅 mana tumejua kuwakera miaka hii mi3 na matukio ambayo hawakufikiriaga
Yan wanasema tumia nafasi unapopata ili siku ukikosa atakaye pata hata akikuringishia vipi hautakua kwenye majuto makubwa. Kwahiyo mimi ningetamani waniweke kwenye kamati ya ubunifu wa kuwakera wapinzani bila malipo ningeifanya kazi vizuri sana.
 
1716434648483.png
 
Mtaji wa CCM ni majitu majinga majinga mashabiki ya simba na yanga. Vitu vya maana hamfatilii kabisa
 
Isije tu ikaparamia mabango yao ikaua watu.
 
Back
Top Bottom