Mkuu ni katika namna ya kuboresha burudani. Hawa jamaa siku wakibeba kombe huwezi jua watakachofanya nini kujaribu kukukera. Kwahiyo naona Yanga wafanye tu tena waongeze ubunifu zaidiKuna ulazima wa kutumia hiyo Helkopta!! Hayo madude siyo poa hata kidogo. Kama vipi wabakie tu na hilo basi maalum.
Nawaza siku Simba wakibeba kombe sijui watatufanyaje 😅😅😅 mana tumejua kuwakera miaka hii mi3 na matukio ambayo hawakufikiriagaMkuu ni katika namna ya kuboresha burudani. Hawa jamaa siku wakibeba kombe huwezi jua watakachofanya kujaribu kukukera. Kwahiyo naona Yanga wafanye tu
Huwa zinaanguka“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta hiyo itashuka ndani ya Uwanja wa Mkapa na sisi Wananchi ndio Tutalipokea Kombe Letu, Niwaombe Mashabiki wa Yanga kuwahi mapema uwanjani tushuhudie Tukio hili kubwa la Kihistoria,” Ally Kamwe
Wanatafuta maajali Ili waseme Mungu kapangaKuna ulazima wa kutumia hiyo Helkopta!! Hayo madude siyo poa hata kidogo. Kama vipi wabakie tu na hilo basi maalum.
Yan wanasema tumia nafasi unapopata ili siku ukikosa atakaye pata hata akikuringishia vipi hautakua kwenye majuto makubwa. Kwahiyo mimi ningetamani waniweke kwenye kamati ya ubunifu wa kuwakera wapinzani bila malipo ningeifanya kazi vizuri sana.Nawaza siku Simba wakibeba kombe sijui watatufanyaje 😅😅😅 mana tumejua kuwakera miaka hii mi3 na matukio ambayo hawakufikiriaga