Yanga kutumia "Visit Tanzania" ligi za ndani

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa utaendelea kuvaa nembo yenye vivutio vya utaliiya Visit Kilimanjaro & Zanzibar kwenye jezi zao upande wa mkono wa kushoto katika mechi zao za ndani.
.
Uongozi umesema kutokana na mechi hizo zinarushwa na Azam TV hivyo upo uwezekano wa kuonekana na watu wa mataifa ya nje na ikawa kivutio kwa Watalii.

Tutarajie kuwaona Yanga wakitumia jezi hizo katika mechi za Ligi Kuu, Kombe la ASFC, na Mapinduzi CUP.

My Take
Huko sio kuongeza idadi ya makorokoro kwenye jezi?
 
Wanafika aibu ndani.
Basi Jina makolokolo pia na wao watumie
 
Si wanalipwa ? Haya mambo bila kujua behind the scenes ni vigumu kutoa comment yenye tija

By the way watalii wa ndani wanahitajika
 
Duh....! Huo Ujumbe begani ulivyo mdogo atauona nani?
Mkataba Waliosani Unasemaje?
Anyway Wacha Watumie, wajilinganishe na True African Giant from Tanzania S.S.C.
 
Duh....! Huo Ujumbe begani ulivyo mdogo atauona nani?
Mkataba Waliosani Unasemaje?
Anyway Wacha Watumie, wajilinganishe na True African Giant from Tanzania S.S.C.
Kiukweli hilo kolokolo waliloweka hakuna wa kulisoma imekula kwa m2
 
Sio watakua Simba, GSM ni Simba kindakindaki hata utopolo wenyewe wanalijua hilo
 
Mhhh aisee hii ni aibu ya karne
 
Si wanalipwa ? Haya mambo bila kujua behind the scenes ni vigumu kutoa comment yenye tija

By the way watalii wa ndani wanahitajika
Sasa mechi ya ndani unatumiaje Tena visit Tanzania wakati wewe ni utopolo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…