Yanga kutupwa nje ya Azam Conf. Cup

Nawaombea yanga wapite leo huko mbele wakitane ma simba azam conf. Cup...
 
Mkuu Yanga tulitetereka kidogo kwenye mechi mbili tatu, nakuhakikishia sasa hivi hatutafanya makosa tena.
Tunachukua kombe la ligi kuu Simba hawataamini macho yao.

Daima mbele
Duh ama kweli akili yenu inatia shaka kama kweli mko sawa.
 
Mimi nilifikiri Itakua vizuri Yanga ishinde mechi yake ya FA na Simba ashinde mechi yake ya FA ili wakutane fainali, alafu Simba ipate nafasi nzuri ya kulipiza kisasi cha tarehe 8.
Hapo kwenye Yanga kuishinda Kagera Sugar kwenye FA, ndio mtihani mkubwa kuliko kumuomba msamaha Molinga
 
Nawaombea yanga wapite leo huko mbele wakitane ma simba azam conf. Cup...
Naona unaombea kama mlivyokuwa mnaombea mwanzoni na kudai tulipataje pataje... na kwa bahati mzuri mlivyokutana nao tena wakawajibu waliipataje pataje!
 
Leo yanga inaenda ku rest in peace
 
Leo simba tuwashangilie yanga washinde ili tukutane nao tuwafanyie ubaya maana wanachonga sana
 
Alafu mnatolewa awali kama na UD SONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…