Mhhhhnafasi ya pili ina umuhimu,iwapo ikitokea simba akichukua vpl na azam cup,wa pili kwenye msimamo wa ligi ndo atakayeenda kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhhnafasi ya pili ina umuhimu,iwapo ikitokea simba akichukua vpl na azam cup,wa pili kwenye msimamo wa ligi ndo atakayeenda kimataifa
Ndio mnavyo danganyanaLile bao la March 8 rais wa caf analitumia kama mfano huko duniani
Mwaka jana Lipuli alifanyiwa hujuma ,na mara nyingi wanabadilisha kanuni,ila kama wanafuata kanuni kweli Simba akichukua ubingwa wa pande zote anayeenda confederation ni mtu wa pili kwenye msimamo wa VPL na siyo aliyetolewa kwenye Azam Cup.Baada ya hoja yako hii nikalazimika kujiuliza ilikuaje KMC walishiriki Kombe la Shirikisho na sio Lipuli ambao walishika namba 2!!
Nilichogundua, kama kawaida yetu huwa hatuna plans for future! Baada ya msimu uliopita kuwa na nafasi 4 (2 Mabingwa, na 2 Shirikisho), hiyo kwetu ilikuwa ni surprise ambayo haikuwa documented earlier just in case inapotokea issue kama hiyo!!
Kutokana na hilo, TFF wakalazimika kubadili kanuni na kuweka Mshindi wa 1 & 2 VPL aende Club Bingwa na Mshindi #3 aende Shrikisho kama Mwakilishi #2 baada ya Mshindi!
Kule Azam Cup, Mshindi alikuwa Azam na #2 alikuwa Lipuli, na VPL #3 alikuwa Azam. Kwa maana nyingine, kwavile Azam alikuwa huku na huku, ndipo akachukuliwa KMC aliyekuwa VPL #4!
Swali ninalojiuliza ni: Hivi namba 2 kule Azam Cup angekuwa Yanga, wakati VPL angekuwa #5... hivi kweli TFF wangesema #3 VPL ndo aende Confederation Cup na kumchinjia baharini Yanga aliyekuwa #2 kwenye Azam Cup?!
Hii kanuni waliifanyia roho mbaya Lipuli kwa sababu hawana wa kuwatetea!!!
Sasa kama kanuni mpya ilikuwa fixed kwamba Mshindi wa 3 ndie aende Confederation na sio mshindi wa pili au watakaofuatia, basi utaibuka mgogoro mwingine wa kikanuni kwa sababu kama Azam atakuwa #2 VPL huwezi kumruka halafu aende Yanga au Namungo unless kama yeye awe ndo bingwa wa Azam Cup!!
Na akishakuwa bingwa, ina maana #2 ya VPL itakuwa useless!
Lakini kama kanuni inatamka bayana kwamba #2, au #3 au #4 n.k atawakilisha CAF in case Simba anakuwa bingwa Azam Cup, then ligi bado inaendelea kwa sababu both Azam, Yanga na hata Namungo wataendelea kuvutiwa na VPL #2.
Nafasi ya 3 & 4 mwaka huu haziwezi kuwa deal! Mwaka jana zilikuwa deal kwa sababu tulikuwa na wawakilishi 4 kwa makombe ya Afrika; kwa bahati mbaya, wote waliishia nafasi mbaya na hivyo hatuwezi kupata ile favor ya mwaka jana ambayo ilichangiwa sana na Simba kufika Robo Fainali na vi-point vichache vya Yanga ambavyo alivipata kwenye kufikia 16 bora kama sikosei!!Mwaka jana Lipuli alifanyiwa hujuma ,na mara nyingi wanabadilisha kanuni,ila kama wanafuata kanuni kweli Simba akichukua ubingwa wa pande zote anayeenda confederation ni mtu wa pili kwenye msimamo wa VPL na siyo aliyetolewa kwenye Azam Cup.
Kwahiyo bado ligi inaendelea kwa nafasi ya 2,3 na 4.
Kwa staili hii labdaMkuu Yanga tulitetereka kidogo kwenye mechi mbili tatu, nakuhakikishia sasa hivi hatutafanya makosa tena.
Tunachukua kombe la ligi kuu Simba hawataamini macho yao.
Daima mbele
Mkuu hawa jamaa ni kama wamechanganyikiwa ,,,,,wao wanachofikiria Ni tarehe 8 tuu nafikiri ndio walimaliza ligiDalili zipo wazi Yanga imetepeta mno,hata nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ni shida.
Kwa upande wa Azam Conf. Cup Yanga watatolewa mapema .
Yanga tangu mechi ya march 8 kuifunga Simba ni kama imechanganyikiwa,Sijawahi kuona akili za kijinga hivi za wanayanga wameshindwa kufocus games zilizo mbele zao wanasherekea goli ya tar 8,wanafungwa kila siku lakini wamefocus tar 8 march badala ya mechi zijazo.
Simba wanachukua ubingwa wao wanashangilia mechi ya tar 8, azam conf Itachukuliwa pia wao bado wanashangilia bao la march 8 ,hizi ni akili au matope?
Halafu hiyo mentality ikawaingia hadi viongozi wao na wachezaji kwamba kumfunga simba wamemaliza ligi.
Mmebakiwa na azam conf. Cup endeleeni kushangilia march 8,Kimataifa mtasikilizia kwa wengine
Ubingwa wa nchi gn mkuu!!!Mkuu Yanga tulitetereka kidogo kwenye mechi mbili tatu, nakuhakikishia sasa hivi hatutafanya makosa tena.
Tunachukua kombe la ligi kuu Simba hawataamini macho yao.
Daima mbele
kwani ile nafasi ya Libya ya kuwa na timu 2 tumepokonywa?Ligi yoyote bingwa akishajulikana tu tayari inakosa msisimko hasa ukizingatia nafasi ya 2 na 3 hazina faida yoyote! Ingekuwa kama zamani kwamba 3 Bora wanaenda Ligi ya Muungano, bado kipute kingekuwa kikali!
TanzaniaUbingwa wa nchi gn mkuu!!!
Ile nafasi inatokea baada ya ku-perform vizuri msimu uliotangulia kwenye Club Bingwa na Shirikisho! Unfortunately, msimu huu Simba katolewa mwanzoni kabisa na Yanga mwenyewe ndo hivyo tu!kwani ile nafasi ya Libya ya kuwa na timu 2 tumepokonywa?
yote hayo nilisikia bado pointi zilitosha mwakaniIle nafasi inatokea baada ya ku-perform vizuri msimu uliotangulia kwenye Club Bingwa na Shirikisho! Unfortunately, msimu huu Simba katolewa mwanzoni kabisa na Yanga mwenyewe ndo hivyo tu!
Club Bingwa ndo kunatoa points nyingi zaidi, sasa ile wakilishi 2 tuliyokuwa tumepata msimu huu ni kutokana na Simba kufika robo fainali, Yanga nae alichangia vi-point vichache ambavyo vilitokana na kuingia 16 Bora Shirikisho!
Ni kwamba aliyetuzidi point ambaye katupokonya hiyo nafasi amekuwa disqualified kushiriki mashindano yoyote ya CAF. so swali ni kwamba tutapanda sisi tunayefuatia?Ile nafasi inatokea baada ya ku-perform vizuri msimu uliotangulia kwenye Club Bingwa na Shirikisho! Unfortunately, msimu huu Simba katolewa mwanzoni kabisa na Yanga mwenyewe ndo hivyo tu!
Club Bingwa ndo kunatoa points nyingi zaidi, sasa ile wakilishi 2 tuliyokuwa tumepata msimu huu ni kutokana na Simba kufika robo fainali, Yanga nae alichangia vi-point vichache ambavyo vilitokana na kuingia 16 Bora Shirikisho!
Inawezekana lakini sio guaranteed. Inawezekana kwa sababu wanaangalia performance ya miaka 5 iliyopita na msimu ambao Simba ali-perform bado upo within the past 5 years.yote hayo nilisikia bado pointi zilitosha mwakani
Unajua kabla sijasoma hii post, post yangu ya mwisho nilikuwa nazungumzia kuitafuta ile standing ya msimu uliopita! Btw, ni nani huyo ambae alitupokonya nafasi?! Lakini kama unachosema ndicho kilichopo, basi tutapanda sisiNi kwamba aliyetuzidi point ambaye katupokonya hiyo nafasi amekuwa disqualified kushiriki mashindano yoyote ya CAF. so swali ni kwamba tutapanda sisi tunayefuatia?
yote hayo nilisikia bado pointi zilitosha mwakani
Ile ranking niliyokuwa naitafuta ni hii hapa chini:-Ni kwamba aliyetuzidi point ambaye katupokonya hiyo nafasi amekuwa disqualified kushiriki mashindano yoyote ya CAF. so swali ni kwamba tutapanda sisi tunayefuatia?
Labda mkachukue kombe kijijini kwenu huko namtumboMkuu Yanga tulitetereka kidogo kwenye mechi mbili tatu, nakuhakikishia sasa hivi hatutafanya makosa tena.
Tunachukua kombe la ligi kuu Simba hawataamini macho yao.
Daima mbele
Hahaha tulia Mkuu.Labda mkachukue kombe kijijini kwenu huko namtumbo