Yanga kutwaa kombe la ligi bila kufungwa

Hahahaaaaaa unatia huruma sana Mrembo Wangu hahaaaaaaa nacheka kwa dharau[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Msalimie mwigulu, waambieni wachezaji wenu waache hayo Mambo!
 
Kama uikuwa chuo basi unamfahamu fika Karume Songolo
 
Nyie simba mnaona ajabu sana kuutwaa ubingwa eti, maana hatulali ila ni sawa miaka mitano hamjagusa duh.
 
Yanga hawajawahi kuchukua ligi bila kufungwa nakumbuka azam

Ndilo tatizo la kubishana na mashabiki wa dot.com, hawana historia...wengi wameanza kushabikia timu hizi kuanzia mwishoni mwa miaka ya 90 au mwanzoni mwa miaka ya 2000...nyuma ya hapo hawana historia kabisa...ni ubishi kwenda mbele...
 
Lengo la uzi huu mkuu ni kupata jibu tu kama unafahamu naomba unifahamishe namie maana maneno yamekuwa mengi sana, nitajie mwaka ambapo yanga walibeba ubingwa bila kufungwa ili tuweke sawa mambo huku mitaani
 
Fuatilia mwaka ambapo kocha wa Yanga alikuwa ni kipa msaidizi alikuwa anafanya kazi Tegry Plastics...jina tafuta mwenyewe siyo mnakula vya ulaini tu na kuleta ubishi mitaani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…