nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Msalimie mwigulu, waambieni wachezaji wenu waache hayo Mambo!Hahahaaaaaa unatia huruma sana Mrembo Wangu hahaaaaaaa nacheka kwa dharau[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalimie mwigulu, waambieni wachezaji wenu waache hayo Mambo!Hahahaaaaaa unatia huruma sana Mrembo Wangu hahaaaaaaa nacheka kwa dharau[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Yanga hawajawahi kuchukua ligi bila kufungwa nakumbuka azam
Lengo la uzi huu mkuu ni kupata jibu tu kama unafahamu naomba unifahamishe namie maana maneno yamekuwa mengi sana, nitajie mwaka ambapo yanga walibeba ubingwa bila kufungwa ili tuweke sawa mambo huku mitaaniNdilo tatizo la kubishana na mashabiki wa dot.com, hawana historia...wengi wameanza kushabikia timu hizi kuanzia mwishoni mwa miaka ya 90 au mwanzoni mwa miaka ya 2000...nyuma ya hapo hawana historia kabisa...ni ubishi kwenda mbele...
Simba haijatwaa ubingwa,bali imetwaa ubingwa bila kufungwaNyie simba mnaona ajabu sana kuutwaa ubingwa eti, maana hatulali ila ni sawa miaka mitano hamjagusa duh.
Lengo la uzi huu mkuu ni kupata jibu tu kama unafahamu naomba unifahamishe namie maana maneno yamekuwa mengi sana, nitajie mwaka ambapo yanga walibeba ubingwa bila kufungwa ili tuweke sawa mambo huku mitaani