Niende kwenye mada moja kwa moja, mitaani kumekuwa na majigambo baina ya watani wa jadi kuwa Simba endapo kama itamaliza ligi bila kufungwa hakitakuwa kitu kipya mbali na kwamba walishawahi kufanya hivo msimu wa 2010 ila pia Yanga wameshachukua ligi mara 2 bila kupoteza mchezo
Naomba kwa wanaofahamu watujuze kama ni kweli Young African wamewahi kuchukua kombe bila kupoteza mchezo na ilikuwa msimu wa mwaka gani
Natanguliza shukrani
Naomba kwa wanaofahamu watujuze kama ni kweli Young African wamewahi kuchukua kombe bila kupoteza mchezo na ilikuwa msimu wa mwaka gani
Natanguliza shukrani