Yanga kutwaa ubingwa mara 25 lakini hakuna mafanikio kimataifa ni aibu

Simba kacheza Fainali klabu bingwa Afrika Yanga utabaki wa ndanda mtibwa Na toto
 
Simba wamefika nusu fainali Klabu bingwa afrika 1974.
Simba amefika fainali kombe la shirikisho 1993.
Simba inaongoza kuchukua kombe la kagame ukanda huu wa afrika mashariki.

Mwenye records za Yanga aziweke hapa. Fatcs tu no pang'ang’a
Na huu ni msimu wa ngapi simba hajachukua ligi kuu?
 
Sasa Mimi Sio Mpenzi wa Moira, ila dairy nasikia Yanga mara Tunisia mara Angola, so Kama haifanyi vizuriii...

kwa nini Simba wasichukue Ubingwa mwaka huu wakatutoe Kimasomaso!!!????
 
Simba walifika fainali ya kombe la CUF leo linaitwa SHIRIKISHO, hiyo ni rekodi ya kujivunia.
Wslipata "taji" maana hayo ndio mafanikio ukiongelea mpira. Ndio maana mmetaja yanga mara 25 lakini hamjahangaika kutaja wa pili mara ngapi
 
Kule Klabu bingww Afrika ni ngumu kufanya figisu na kununua mechi...
 
fainali gani ile Mzee mwinyi aliyouliza mbona simuoni Lunyamila?
Fainali gani ile ambayo Dewji aliwaahidi kia?
fainali gani ile ambayo mlifka baada ya timu nyingi kujitoa?
majibu tafadhali
 
Mafanikio si kuchukua ubingwa kama ulivyoitaja Yanga kuchukua mara 25? Je mbona hujataja washindi wa 2 na 3 kwenye hizo 25 za Yanga kama nayo ni mafanikio?
Ubingwa ndio kila kutu ndio maana hujazitaja zile timu nyingine zilizoishia nafas ya 2 na sijui nusu fainal
 
WanaJangwani wote Jumamosi tufike kwa wingi Shamba la Bibi tutakapokuwa tunatangaza Ubingwa kwa kumfunga Mbeya City.
 
yanga na TFF hii.. wataishia kupigwa 4G kila siku, labda huko nako wakanunue mechi au Saanya awe refa wao
 
Simba wamefika nusu fainali Klabu bingwa afrika 1974.
Simba amefika fainali kombe la shirikisho 1993.
Simba inaongoza kuchukua kombe la kagame ukanda huu wa afrika mashariki.

Mwenye records za Yanga aziweke hapa. Fatcs tu no pang'ang’a

Records za Yanga sina, ila nachojua Mbao naye kafika final ya FA, so far mafanikio yako ni kama ya mbao tu, kama tu kufika nusu or finali ni mafanikio.

Acheni kumbwela mbwela.
 
Records za Yanga sina, ila nachojua Mbao naye kafika final ya FA, so far mafanikio yako ni kama ya mbao tu, kama tu kufika nusu or finali ni mafanikio.

Acheni kumbwela mbwela.
Acha ujinga wewe. Elimu ni bure. Hivi mbao anajulika wapi katika records za CAF?
 
Tatizo sio Yanga wala Simba au Azam.

1. Tukubali ligi yetu ni dhaifu, mbovu mbovu. Yaani kama ni mashindano basi ni vilaza kwa vilaza.

2. Rushwa imetawala, timu kubwa zinanunua matokeo.

3. Ushirikina, simba na yanga zikijiandaa kwa mechi ya uhasimu utasikia mmoja kaenda zanzibar na mwingine bagamoyo. Ila wakicheza na timu za nje wala husikii wakifanya hayo maandalizi.

Tanzania tujenge nchi yetu, mpira tuwaachie wengine, tushikamane kuiondoa ccm madarakani, tuachane na mpira kwa sasa.
 
Acha ujinga wewe. Elimu ni bure. Hivi mbao anajulika wapi katika records za CAF?

Hiyo elimu bure mbona imekupita kushoto? Naona hujui kuwa TFF ni wakala wa CAF hapa Tanzania. Sasa Kama Malinzi anazo records za Mbao, CAF inashindwaje kuwa nazo.

Elimu ni bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…