Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
- Thread starter
- #21
Simba kacheza Fainali klabu bingwa Afrika Yanga utabaki wa ndanda mtibwa Na toto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huu ni msimu wa ngapi simba hajachukua ligi kuu?Simba wamefika nusu fainali Klabu bingwa afrika 1974.
Simba amefika fainali kombe la shirikisho 1993.
Simba inaongoza kuchukua kombe la kagame ukanda huu wa afrika mashariki.
Mwenye records za Yanga aziweke hapa. Fatcs tu no pang'ang’a
Hiki ndio kimebaki kisingizio chenu kila msimu mkikosa ubingwa mnasema simba alifika fainali CuF.Simba walifika fainali ya kombe la CUF leo linaitwa SHIRIKISHO, hiyo ni rekodi ya kujivunia.
DuuuhSimba kacheza Fainali klabu bingwa Afrika Yanga utabaki wa ndanda mtibwa Na toto
Sasa Mimi Sio Mpenzi wa Moira, ila dairy nasikia Yanga mara Tunisia mara Angola, so Kama haifanyi vizuriii...Yanga ni klabu kongwe katika Tanzania.Imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Tanzania Kwa mara 25. Pamoja Na kuwa klabu kongwe lakini haina Rekodi ya kujivunia kimataifa zaidi ta kushuriki tu Ni aibu Kwa Klabu kama Yanga.Tp Mazembe imeundwa hivi karibuni lakini Mafanikio yake Makubwa imecheza Fainali ya kombe la Klabu bingwa la Dunia.
Wslipata "taji" maana hayo ndio mafanikio ukiongelea mpira. Ndio maana mmetaja yanga mara 25 lakini hamjahangaika kutaja wa pili mara ngapiSimba walifika fainali ya kombe la CUF leo linaitwa SHIRIKISHO, hiyo ni rekodi ya kujivunia.
Jibu hoja acha porojoNa huu ni msimu wa ngapi simba hajachukua ligi kuu?
Mwenye records za Yanga aziweke hapa. Fatcs tu no pang'ang’a
Simba wamefika nusu fainali Klabu bingwa afrika 1974.
Simba amefika fainali kombe la shirikisho 1993.
Simba inaongoza kuchukua kombe la kagame ukanda huu wa afrika mashariki.
Mwenye records za Yanga aziweke hapa. Fatcs tu no pang'ang’a
Simba walifika fainali ya kombe la CUF leo linaitwa SHIRIKISHO, hiyo ni rekodi ya kujivunia.
Acha ujinga wewe. Elimu ni bure. Hivi mbao anajulika wapi katika records za CAF?Records za Yanga sina, ila nachojua Mbao naye kafika final ya FA, so far mafanikio yako ni kama ya mbao tu, kama tu kufika nusu or finali ni mafanikio.
Acheni kumbwela mbwela.
Acha ujinga wewe. Elimu ni bure. Hivi mbao anajulika wapi katika records za CAF?