Yanga kuukosa ubingwa TPL miaka 10 ijayo

Hahahaaa. Kwa sifa tu siwawezi Watani zangu.

Mujiandae kisaikolojia tu Mtani maana mpira hauna muamana.

Kweli Mtani, uzito lazima uongezeke. Maana hata ukiwa unaangalia mpira kwa amani unajikuta mirinda nyeusi au pepsi inashuka kwa amani, pembeni unakifuko cha karanga au bisi.

Kuna wale wanaenda kuangalizia mpira bar, maana una uhakika na matokeo hujifichi.
 
Sio kweli... na sina haja ya kutoa sababu, YANGA sio TOTO.
 
Sio kweli... na sina haja ya kutoa sababu, YANGA sio TOTO.
 
Yanga watasubiri sana. Pamoja na moto tulionao Simba sahivi ila bado Mo hajaridhika, na kashasema haiendeshi Simba kwa lengo la kupata faida. Mzigo wote unaopatikana unarudishwa kwenye mzunguko na uwekezaji, wa ndani na nje ya uwanja

the Legend☆
 
Anachosema bw manara ni kweli kabisa. Huwezi kuwa bingwa wa nchi kama huna vision. Vision yako ni ubingwa wakati bingwa ndie mbeba nchi kwenye mashindano ya kitaifa sasa kama huna vision kimataifa utakwenda kuleta haibutu. Mpira ni uwekezaji mkubwa. Mwachieni simba azidi kutupa raha.
 
Kiongozi, hiyo vision mmeipata lini? For the past 5 years, ubingwa mmechukua mara ngapi?
Angalieni nchi inaenda wapi. Mo anaweza kupatwa na ya Manji. Tayari wameanza na mashamba ambayo ni collateral ya mikopo ya Mo nje ya nchi. What next?
 
Yanga timu ya wananchi...Mikia anabebwa sana ..magoli manne ya Kegere offside..Makambo kafunga clears goals nne wamekataa..mechi na Singida Matheo kafunga clear goal wakakataa ...TFF Mungu anawaona msije na nyie kuanza kuzika watoto wenu...
 
mbona amesema anarudi tena akimaliza refinery yake ya lagos hapo 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…