100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Hahahaaa. Kwa sifa tu siwawezi Watani zangu.
Mujiandae kisaikolojia tu Mtani maana mpira hauna muamana.
Kweli Mtani, uzito lazima uongezeke. Maana hata ukiwa unaangalia mpira kwa amani unajikuta mirinda nyeusi au pepsi inashuka kwa amani, pembeni unakifuko cha karanga au bisi.
Kuna wale wanaenda kuangalizia mpira bar, maana una uhakika na matokeo hujifichi.