Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Club hii imejaa uhuni uhuni mwingi usio na faida wala tijaHabari wakuu
Acheni uzushi uzeni jezi Kwa bei elekezi mnatuletea ujanja mpaka mashabiki wenu tunakuja kununua jezi hapo makao Makuu ya yanga mnasema jezi zimeisha cha ajabu hatua mbili tu kutoka jengo lenu mnauza jezi laki 1.5 msituletee ujanja wa kizamani- tuleteeni mzigo na sio kujifanya wajanja wa kibiashara mambo hayapo hivyo
Ukiwaona wale wazee wamejaa vibaraghashia na vijana wa madrassa jua hamna kitu hapoHabari wakuu
Acheni uzushi uzeni jezi Kwa bei elekezi mnatuletea ujanja mpaka mashabiki wenu tunakuja kununua jezi hapo makao Makuu ya yanga mnasema jezi zimeisha cha ajabu hatua mbili tu kutoka jengo lenu mnauza jezi laki 1.5 msituletee ujanja wa kizamani- tuleteeni mzigo na sio kujifanya wajanja wa kibiashara mambo hayapo hivyo
Habari wakuu,
Acheni uzushi uzeni jezi kwa bei elekezi, mnatuletea ujanja mpaka mashabiki wenu tunakuja kununua jezi hapo Makao Makuu ya Yanga mnasema jezi zimeisha cha ajabu hatua mbili tu kutoka jengo lenu mnauza jezi laki 1.5!
Msituletee ujanja wa kizamani, tuleteeni mzigo na siyo kujifanya wajanja wa kibiashara, mambo hayapo hivyo.
Mgeni wa kufatilia mambo, mkataba mpya wa Yanga na GSM kuhusu jezi haujuiHizo pesa za jezi ni za Jiesiem sio yanga. Kwenye hiyo 1.5 yenu buku tatu tu!!
Tsh 35000 ukilialia hata Tsh 20000 unabeba wewe pita uwanja wa Taifa utanielewaMmoja ajitokeze aninunulie,
Timu yangu simba wanauza bei gani?
Huku Yanga hakunaga mashabiki mbumbumbu km wewe, Nenda kanunue Yale madekio yenu ya vunjabei yamejaa tele hapo kariakooHabari wakuu,
Acheni uzushi uzeni jezi kwa bei elekezi, mnatuletea ujanja mpaka mashabiki wenu tunakuja kununua jezi hapo Makao Makuu ya Yanga mnasema jezi zimeisha cha ajabu hatua mbili tu kutoka jengo lenu mnauza jezi laki 1.5!
Msituletee ujanja wa kizamani, tuleteeni mzigo na siyo kujifanya wajanja wa kibiashara, mambo hayapo hivyo.
Huyu ndiye mleta uzi. Unganisha dot hapo