Yanga kuuza jezi laki 1.5 msituone wajinga

Habari wakuu

Acheni uzushi uzeni jezi Kwa bei elekezi mnatuletea ujanja mpaka mashabiki wenu tunakuja kununua jezi hapo makao Makuu ya yanga mnasema jezi zimeisha cha ajabu hatua mbili tu kutoka jengo lenu mnauza jezi laki 1.5 msituletee ujanja wa kizamani- tuleteeni mzigo na sio kujifanya wajanja wa kibiashara mambo hayapo hivyo
Club hii imejaa uhuni uhuni mwingi usio na faida wala tija
 
Habari wakuu

Acheni uzushi uzeni jezi Kwa bei elekezi mnatuletea ujanja mpaka mashabiki wenu tunakuja kununua jezi hapo makao Makuu ya yanga mnasema jezi zimeisha cha ajabu hatua mbili tu kutoka jengo lenu mnauza jezi laki 1.5 msituletee ujanja wa kizamani- tuleteeni mzigo na sio kujifanya wajanja wa kibiashara mambo hayapo hivyo
Ukiwaona wale wazee wamejaa vibaraghashia na vijana wa madrassa jua hamna kitu hapo

USSR
 
Mmoja ajitokeze aninunulie,

Timu yangu simba wanauza bei gani?
 
Habari wakuu,

Acheni uzushi uzeni jezi kwa bei elekezi, mnatuletea ujanja mpaka mashabiki wenu tunakuja kununua jezi hapo Makao Makuu ya Yanga mnasema jezi zimeisha cha ajabu hatua mbili tu kutoka jengo lenu mnauza jezi laki 1.5!

Msituletee ujanja wa kizamani, tuleteeni mzigo na siyo kujifanya wajanja wa kibiashara, mambo hayapo hivyo.

Hayo matambara ndio laki 1.5?
Ndio maana mliambiwa Yanga wenye akili ni watu wawili tu!
 
Huyu ndiye mleta uzi. Unganisha dot hapo
 
Attachments

  • IMG_20230208_212651.jpg
    IMG_20230208_212651.jpg
    102.8 KB · Views: 3
  • IMG_20230208_212609.jpg
    IMG_20230208_212609.jpg
    83.9 KB · Views: 3
Habari wakuu,

Acheni uzushi uzeni jezi kwa bei elekezi, mnatuletea ujanja mpaka mashabiki wenu tunakuja kununua jezi hapo Makao Makuu ya Yanga mnasema jezi zimeisha cha ajabu hatua mbili tu kutoka jengo lenu mnauza jezi laki 1.5!

Msituletee ujanja wa kizamani, tuleteeni mzigo na siyo kujifanya wajanja wa kibiashara, mambo hayapo hivyo.
Huku Yanga hakunaga mashabiki mbumbumbu km wewe, Nenda kanunue Yale madekio yenu ya vunjabei yamejaa tele hapo kariakoo
 
Back
Top Bottom