Yanga kuuza jezi laki 1.5 msituone wajinga

Jezi nyeusi zilivyotoka tu, siku ya pili tu nikaenda makao makuu, lakini zilikiwa zimeisha Ila nje pale jamaa wanauza elfu hamsini na nilinunua.

Ila wanachofanya sio sahihi kabisa .
 
Huu unaofanya wewe ndo uhuni sasa. Kulaumu klabu ya Yanga kwa jambo linalofanywa na watu binafsi ni uhuni. Hapo ni dhahiri kuna watu walinunua jezi 5 au 10 wakijua zitaisha na watawalangua watu. Hakukua na limit ya idadi ya jezi za kununua. Ni kama tiketi za mechi kubwa zinavyolwnguliwa na kuuzwa bei kubwa watu wakizidi uwanjani.
 
Hayo matambara ndio laki 1.5?
Ndio maana mliambiwa Yanga wenye akili ni watu wawili tu!

Ni kweli, nimekubali kweli wenye akili ni wawili tu
 
Wanaleta uhuni tu- UTOPOLO
 
Wacha wananchi wauze hata 500k. Hayo ndo maoato ya club. Ada ya uanachama hamlipii, sasa hizo hela zenu tutazipata vip. Au unataka turudi kwenye bakuli? I
 
Sasa lawama ni kwa klabu au walanguzi?
 
Huyu ndiye mleta uzi. Unganisha dot hapo
Ndiyo maana wanasema usichukulie kila kitu serious ndani ya JF ,wengine humu ni comedian tu! Kumbe Jamaa ni Kolo ila alivyleta thread unaweza kujua ni Mwananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…