Yanga kuvaa nembo ya mdhamini sio haramu

Kwani Voda mbona wana rangi nyingi nje na nyekundu?Yanga haitokaa iweke doa jekundu kwenye rangi zake.tusipangiene cha kufanya.GSM wana lebo za njano ndo maana voda wataweka nembo nyeusi kama zaman.over.kila mtu aishi kwenye misingi yake.
 
Jibu sahihi.
Yule Msomali akitaka kulazimisha tutamrudisha Mogadishu
 
Acha fujo dogo. Fuatilia ratiba ya VPL. Tupo busy na maandalizi ya ZESCO. Fuatilia habari za Namungo.
Mnajiandaa kufungwa na zesco??kwa hiyo ndo mpo kufanya maandalizi yakuandaa makapu ya magoli???hao wakina namungo sjui jkt ruvu si ndo juzi wamekupiga kimoja cha mkwezi...kimoja cha nguruweee😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hatuwezi kujadili ushiriki wetu na vilaza. Round ya Kwanza boooom out.
Next level ni kubutuliwa round ya kwanza. Mmesomeka sana.
 
Kiuhalisia nembo ya Vodacom ni nyekundu na nyeupe, tunapomlazimisha nembo yake iwe nyeusi ni kumlazimisha mfadhili atende kosa huko brella na kwingineko bila sababu ya msingi. Hebu vitu vidogovidogo tuvivumilie Tu.
Uelewa wa viongozi wao ni mdogo,sasa kama timu haina Marketing Manager au mtu wa Business Administration tutegemee nini.Waajiri wataalamu wa biashara na sio kuleta mambo ya kizamani.Wanaingia mikataba hawaisomi vizuri halafu baadae wanaanza kugoma.
 
Ulaya hawana upumbavu wa kuweka nembo ya mdhamini wa ligi kwenye jezi za timu. Barclays Bank haikuwa na na nembo yake kwenye jezi za timu.
Kila timu ina mdhamini wake Wa jezi. Akina Adidas, Puma etc.
wale wachezaji wa senegal wasiovaa jezi zenye tangazo la kamali hujawaona?
 
wale wachezaji wa senegal wasiovaa jezi zenye tangazo la kamali hujawaona?
Kuwaelimisha mbumbumbu ni kazi sana.
Hawajui TifuaTifua wamekataa udhamini mnono zaidi wa TBL kwa sababu Azam wamekataa kuweka matangazo ya beer.
 
Sio ajabu mdhamini kubadili rangi ya nembo yake Kwa mteja. Hata Liverpool rangi ya nembo ya standard chartered Bank sio nyeupe kama ilivyo kwenye jezi ya Liverpool ila iko nyeupe kutokana na jezi ya timu. Tunachosema hapa je Yanga tunao wadhamin/fedha wengi kiasi cha kuwa na nyodo ya kumlazimisha mdhamini afuate matakwa yetu? Na hiyo inawezekana Tu kwenye level ya club lakini tunapozungumzia udhamini wa ligi uniformity ni muhimu
 
JKT Ruvu alimtia 2 isipokuwa yule line woman ndiyo kwa kuhofia aibu ya karne akafanya alilofanya!
Mnajiandaa kufungwa na zesco??kwa hiyo ndo mpo kufanya maandalizi yakuandaa makapu ya magoli???hao wakina namungo sjui jkt ruvu si ndo juzi wamekupiga kimoja cha mkwezi...kimoja cha nguruweee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hatuwezi kujadili ushiriki wetu na vilaza. Round ya Kwanza boooom out.
Next level ni kubutuliwa round ya kwanza. Mmesomeka sana.
Ushiriki wa viti maalumu...bila huyo unayemwita kilaza kukubeba ungeshiriki??mshukuru huyo kilaza sababu bile yeye hayo mashindano ungeishia kuyaona kwenye tv
 
Ushiriki wa viti maalumu...bila huyo unayemwita kilaza kukubeba ungeshiriki??mshukuru huyo kilaza sababu bile yeye hayo mashindano ungeishia kuyaona kwenye tv
Lilikuuma Sana hilo, pole
 
Vodacom wanawahitaji zaidi Yanga kuliko Yanga inavyowahitaji Vodacom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…