Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Mbona matikiti wanayoshindia wachezaji wa kwasukwasu yana yanarangi nyekunduMtumishi wa TFF wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona matikiti wanayoshindia wachezaji wa kwasukwasu yana yanarangi nyekunduMtumishi wa TFF wewe?
Acha fujo dogo. Fuatilia ratiba ya VPL. Tupo busy na maandalizi ya ZESCO. Fuatilia habari za Namungo.Mbona matikiti wanayoshindia wachezaji wa kwasukwasu yana yanarangi nyekundu
Jibu sahihi.Kwani Voda mbona wana rangi nyingi nje na nyekundu?Yanga haitokaa iweke doa jekundu kwenye rangi zake.tusipangiene cha kufanya.GSM wana lebo za njano ndo maana voda wataweka nembo nyeusi kama zaman.over.kila mtu aishi kwenye misingi yake.
Mnajiandaa kufungwa na zesco??kwa hiyo ndo mpo kufanya maandalizi yakuandaa makapu ya magoli???hao wakina namungo sjui jkt ruvu si ndo juzi wamekupiga kimoja cha mkwezi...kimoja cha nguruweee😂 😂 😂 😂 😂 😂Acha fujo dogo. Fuatilia ratiba ya VPL. Tupo busy na maandalizi ya ZESCO. Fuatilia habari za Namungo.
Hatuwezi kujadili ushiriki wetu na vilaza. Round ya Kwanza boooom out.Mnajiandaa kufungwa na zesco??kwa hiyo ndo mpo kufanya maandalizi yakuandaa makapu ya magoli???hao wakina namungo sjui jkt ruvu si ndo juzi wamekupiga kimoja cha mkwezi...kimoja cha nguruweee😂 😂 😂 😂 😂 😂
Uelewa wa viongozi wao ni mdogo,sasa kama timu haina Marketing Manager au mtu wa Business Administration tutegemee nini.Waajiri wataalamu wa biashara na sio kuleta mambo ya kizamani.Wanaingia mikataba hawaisomi vizuri halafu baadae wanaanza kugoma.Kiuhalisia nembo ya Vodacom ni nyekundu na nyeupe, tunapomlazimisha nembo yake iwe nyeusi ni kumlazimisha mfadhili atende kosa huko brella na kwingineko bila sababu ya msingi. Hebu vitu vidogovidogo tuvivumilie Tu.
wale wachezaji wa senegal wasiovaa jezi zenye tangazo la kamali hujawaona?Ulaya hawana upumbavu wa kuweka nembo ya mdhamini wa ligi kwenye jezi za timu. Barclays Bank haikuwa na na nembo yake kwenye jezi za timu.
Kila timu ina mdhamini wake Wa jezi. Akina Adidas, Puma etc.
Kuwaelimisha mbumbumbu ni kazi sana.wale wachezaji wa senegal wasiovaa jezi zenye tangazo la kamali hujawaona?
Mnajiandaa kufungwa na zesco??kwa hiyo ndo mpo kufanya maandalizi yakuandaa makapu ya magoli???hao wakina namungo sjui jkt ruvu si ndo juzi wamekupiga kimoja cha mkwezi...kimoja cha nguruweee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushiriki wa viti maalumu...bila huyo unayemwita kilaza kukubeba ungeshiriki??mshukuru huyo kilaza sababu bile yeye hayo mashindano ungeishia kuyaona kwenye tvHatuwezi kujadili ushiriki wetu na vilaza. Round ya Kwanza boooom out.
Next level ni kubutuliwa round ya kwanza. Mmesomeka sana.
Vodacom wanawahitaji zaidi Yanga kuliko Yanga inavyowahitaji VodacomSio ajabu mdhamini kubadili rangi ya nembo yake Kwa mteja. Hata Liverpool rangi ya nembo ya standard chartered Bank sio nyeupe kama ilivyo kwenye jezi ya Liverpool ila iko nyeupe kutokana na jezi ya timu. Tunachosema hapa je Yanga tunao wadhamin/fedha wengi kiasi cha kuwa na nyodo ya kumlazimisha mdhamini afuate matakwa yetu? Na hiyo inawezekana Tu kwenye level ya club lakini tunapozungumzia udhamini wa ligi uniformity ni muhimu
Viti maalumu fc...wanawake wakiwezeshwa wanawezaLilikuuma Sana hilo, pole