Yanga kuvaa nembo ya mdhamini sio haramu

Mimi siongelei ushabiki naongelea biashara,hayo mambo ya Simba ni nyie mashabiki ndio mnapenda kushindana,hakuna biashara bila wanasheria na wataalamu wa biashara na masoko.Kama viongozi wenu hawataki si wakatae fedha za mdhamini.
 
Kweli kabisa, ningekuwa mimi kiongozi wa TFF ningeishusha daraja timu ya hivyo. Ningekataa mdhamini kubadili rangi ya nembo yake halafu timu iache kuvaa jezi ya mdhamini ione cha mtema kuni
 
Ulaya hawana upumbavu wa kuweka nembo ya mdhamini wa ligi kwenye jezi za timu. Barclays Bank haikuwa na na nembo yake kwenye jezi za timu.
Kila timu ina mdhamini wake Wa jezi. Akina Adidas, Puma etc.
Hapo Begani unaona nini Mzee??usiongee bila kufanyia utafiti hata mdogo kile unachotaka kukisema
 
Again hizo jezi mwaka upi?
Za season hii hapa:

View attachment 1196931
Barclay's haidhamini tena premier league, wakati wanadhamini wakati huo jezi za team zote ziliwekwa nembo yao ya udhamini, Barclays Premier League!!Ndio ile iliyoko ktk bega picha niliyotuma.

Jezi kuwa na logo,badge ya mdhamini wa ligi na mtengeneza jezi na mmiliki wa mashindano ni jambo LA kawaida sana, rangi zikiwa tofauti na utamaduni wenu inawekwa, logo/badge sio rangi ya jezi!Watani mnakwama wapi??
 
Hatukwami popote. Miaka ya nyuma Yanga ilivaa rangi nyekundu mdhamini akiwa. Vodacom?
Kwa nini sasa iwe lazima?
Wapumbavu wa TFF wamekataa udhamini mkubwa zaidi was TBL kwa kuwa Azam hataki advertisement za beer. Huko mbona wameufyata?
Timu zinahusishwa kwenye discussion na mdhamini? Nina uhakika EPL clubs zina say kwenye negotiations.
 
Kama ni kweli Kakolonya kwanini tulikuwa tunamzingua?
Kuna msimu Yanga waliwadindishia hao vodacom hadi walibadili rangi ya logo maalumu kwa ajili ya Yanga unadhani ni kwa nini?. Ishu ya Beno Zahera anaijua zaidi. Na ni zaidi ya mambo ya hela mbona zahera ashawahi weka wazi?
 
Kweli kabisa, ningekuwa mimi kiongozi wa TFF ningeishusha daraja timu ya hivyo. Ningekataa mdhamini kubadili rangi ya nembo yake halafu timu iache kuvaa jezi ya mdhamini ione cha mtema kuni
Yaani uishushe daraja timu ya Watanzania unajielewa kweli wewe. Si hadi CAF wenyewe watapiga chafya huko? Simba sawa hata ikishushwa hakuna madhara wala mtikisiko.
 
Vodacom ndio wamekomaa sasa, walipunjwa huko miaka ya nyuma,mnalo, Nyekundu itaingia ktk jezi yenu, rangi nyekundu itawatawala Yanga kila mahali hadi graphics za kwenye TV.

Unakuta shabiki LA Yanga kindakindaki linapinga logo tu ya rangi Nyekundu halafu unalikuta Kibanda umiza liko mstari wa mbele kelele kama zote limevaa jezi Nyekundu ya Man Utd au Arsenal!!!!!
 
Unakuta shabiki LA Yanga kindakindaki linapinga logo tu ya rangi Nyekundu halafu unalikuta Kibanda umiza liko mstari wa mbele kelele kama zote limevaa jezi Nyekundu ya Man Utd au Arsenal!!!!!

Sio rangi ya nembo ya mdhamini kwenye jezi ya timu itakayosababisha timu ishindwe, ishuke daraja, wala ipoteze heshima yake. Bali usajili mzuri, kocha mzuri, malipo mazuri ya wachezaji na mwalimu na mashabiki kwenda kwa wingi viwanjani kuishangilia timu yao inapokuwa viwanjani.
 
Ulaya hawana upumbavu wa kuweka nembo ya mdhamini wa ligi kwenye jezi za timu. Barclays Bank haikuwa na na nembo yake kwenye jezi za timu.
Kila timu ina mdhamini wake Wa jezi. Akina Adidas, Puma etc.
Kiongozi ulichokisema siyokweli?Wakati EPL ikidhaminiwa na Backlays' mdhani aliweka nembo yake kwenye jezi zote za timu za Premier.. Nembo ilikua kwenye bega lakushoto!hivyo kusema Barclays hakuweka nembo yake kwenye jezi sikweli!
 
Hivi noti ya sh elfu kumi wanatumia kweli maana muda mwingine huitwa msimbazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…