Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Educate me on the difference.Barclay's Bank alikuwa title sponsor si mdhamini wa ligi elewa hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Educate me on the difference.Barclay's Bank alikuwa title sponsor si mdhamini wa ligi elewa hilo
Mimi siongelei ushabiki naongelea biashara,hayo mambo ya Simba ni nyie mashabiki ndio mnapenda kushindana,hakuna biashara bila wanasheria na wataalamu wa biashara na masoko.Kama viongozi wenu hawataki si wakatae fedha za mdhamini.Uongo.Kila mtu ana msimamo wake.usilazimishe waislamu wote wavae barakashea.wengine watavaa vitambaa.Kama simba mtavaa nembo nyekundu vaeni sisi yanga tutavaa nembo yoyote isipokuwa nyekundu.kama voda wana nembo nyeupe hiyo itawekwa,nyekundu no.Huo ni msimamo wa klabu.Hapo haiitaji elimu kubwa.kama nanyi simba mnataka tafuteni mdhamini kama vile mihan gas kisha aweke madoa ya njano kwenye jezi zenu.Ila sisi hatutaki na tuheshimiane
Kweli kabisa, ningekuwa mimi kiongozi wa TFF ningeishusha daraja timu ya hivyo. Ningekataa mdhamini kubadili rangi ya nembo yake halafu timu iache kuvaa jezi ya mdhamini ione cha mtema kuniMimi siongelei ushabiki naongelea biashara,hayo mambo ya Simba ni nyie mashabiki ndio mnapenda kushindana,hakuna biashara bila wanasheria na wataalamu wa biashara na masoko.Kama viongozi wenu hawataki si wakatae fedha za mdhamini.
Hapo Begani unaona nini Mzee??usiongee bila kufanyia utafiti hata mdogo kile unachotaka kukisemaUlaya hawana upumbavu wa kuweka nembo ya mdhamini wa ligi kwenye jezi za timu. Barclays Bank haikuwa na na nembo yake kwenye jezi za timu.
Kila timu ina mdhamini wake Wa jezi. Akina Adidas, Puma etc.
Premier league ina emblem yake. Barclays Bank wana emblem yao ambayo ni ndege tai. Note the difference.Hapo Begani unaona nini Mzee??usiongee bila kufanyia utafiti hata mdogo kile unachotaka kukisemaView attachment 1196810
Again hizo jezi mwaka upi?Hapo Begani unaona nini Mzee??usiongee bila kufanyia utafiti hata mdogo kile unachotaka kukisemaView attachment 1196810
Barclay's haidhamini tena premier league, wakati wanadhamini wakati huo jezi za team zote ziliwekwa nembo yao ya udhamini, Barclays Premier League!!Ndio ile iliyoko ktk bega picha niliyotuma.
Angalia mifano zaidi, lengo hapa nikukupa ujumbe mdhamini anaweka kitu ktk jezi, na inakuwa rangi yake au anayotaka yeye, huwezi kumpangia.View attachment 1196912
Premier league ina emblem yake. Barclays Bank wana emblem yao ambayo ni ndege tai. Note the difference.
Hatukwami popote. Miaka ya nyuma Yanga ilivaa rangi nyekundu mdhamini akiwa. Vodacom?Barclay's haidhamini tena premier league, wakati wanadhamini wakati huo jezi za team zote ziliwekwa nembo yao ya udhamini, Barclays Premier League!!Ndio ile iliyoko ktk bega picha niliyotuma.
Jezi kuwa na logo,badge ya mdhamini wa ligi na mtengeneza jezi na mmiliki wa mashindano ni jambo LA kawaida sana, rangi zikiwa tofauti na utamaduni wenu inawekwa, logo/badge sio rangi ya jezi!Watani mnakwama wapi??
Kuna msimu Yanga waliwadindishia hao vodacom hadi walibadili rangi ya logo maalumu kwa ajili ya Yanga unadhani ni kwa nini?. Ishu ya Beno Zahera anaijua zaidi. Na ni zaidi ya mambo ya hela mbona zahera ashawahi weka wazi?Kama ni kweli Kakolonya kwanini tulikuwa tunamzingua?
Sasa Yanga utaifananisha na Simba, Yanga si ni timu ya wananchi?. Hatutaki mirangi ya ajabu ajabu kwenye jezi zetu. Ni mwikooooo!Yanga acheni Ushamba, Simba katika mashindano ya CL nembo ya CAF yenye rangi za "Yanga" inawekwa na hujawahi kuwasikia Simba wakijadili huu upuuzi wanaojadili Yanga.View attachment 1195039
Yaani uishushe daraja timu ya Watanzania unajielewa kweli wewe. Si hadi CAF wenyewe watapiga chafya huko? Simba sawa hata ikishushwa hakuna madhara wala mtikisiko.Kweli kabisa, ningekuwa mimi kiongozi wa TFF ningeishusha daraja timu ya hivyo. Ningekataa mdhamini kubadili rangi ya nembo yake halafu timu iache kuvaa jezi ya mdhamini ione cha mtema kuni
Vodacom ndio wamekomaa sasa, walipunjwa huko miaka ya nyuma,mnalo, Nyekundu itaingia ktk jezi yenu, rangi nyekundu itawatawala Yanga kila mahali hadi graphics za kwenye TV.Hatukwami popote. Miaka ya nyuma Yanga ilivaa rangi nyekundu mdhamini akiwa. Vodacom?
Kwa nini sasa iwe lazima?
Wapumbavu wa TFF wamekataa udhamini mkubwa zaidi was TBL kwa kuwa Azam hataki advertisement za beer. Huko mbona wameufyata?
Timu zinahusishwa kwenye discussion na mdhamini? Nina uhakika EPL clubs zina say kwenye negotiations.
Unakuta shabiki LA Yanga kindakindaki linapinga logo tu ya rangi Nyekundu halafu unalikuta Kibanda umiza liko mstari wa mbele kelele kama zote limevaa jezi Nyekundu ya Man Utd au Arsenal!!!!!
Kiongozi ulichokisema siyokweli?Wakati EPL ikidhaminiwa na Backlays' mdhani aliweka nembo yake kwenye jezi zote za timu za Premier.. Nembo ilikua kwenye bega lakushoto!hivyo kusema Barclays hakuweka nembo yake kwenye jezi sikweli!Ulaya hawana upumbavu wa kuweka nembo ya mdhamini wa ligi kwenye jezi za timu. Barclays Bank haikuwa na na nembo yake kwenye jezi za timu.
Kila timu ina mdhamini wake Wa jezi. Akina Adidas, Puma etc.