Yanga kuvuna zaidi ya bilioni 11 msimu huu kama zawadi ya kutwaa makombe. Ni zaidi ya nusu ya uwekezaji wa Mo Dewji Simba

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Screenshot_20230521-122034.png

Club ya Yanga itatwaa zaidi ya bilioni 11 msimu huu endapo itashinda makombe ya Ligi Kuu, FA, na CAF Shirikisho.

Fedha hizo zitatokana na zawadi mbalimbali kutoka kwa CAF, Azam, Sportpesa, Haier, Goli la Mama, mauzo ya jezi n.k

Wanasimba wenzangu kama Yanga wanaweza kutwaa fedha zote hizi ni wazi kuwa hata Simba tukifanya usajili makini tutakuwa tunaingiza hizi fedha.

Na Mo Dewji na timu yake azingatie usajili mzuri tu na wala atakuwa halalamiki tena kuhusu hasara
 
View attachment 2630301

Club ya Yanga itatwaa zaidi ya bilioni 11 msimu huu endapo itashinda makombe ya Ligi Kuu, FA, na CAF Shirikisho
Fedha hizo zitatokana na zawadi mbalimbali kutoka kwa CAF, Azam, Sportpesa, Haier, Goli la Mama, mauzo ya jezi n.k

Wanasimba wenzangu kama Yanga wanaweza kutwaa fedha zote hizi ni wazi kuwa hata Simba tukifanya usajili makini tutakuwa tunaingiza hizi fedha,

Eti Bilioni 11. Uandishi wa habari umevamiwa na wahuni, kila mtu anajiandikia na anasema anachotaka.
 
Hon
View attachment 2630301

Club ya Yanga itatwaa zaidi ya bilioni 11 msimu huu endapo itashinda makombe ya Ligi Kuu, FA, na CAF Shirikisho
Fedha hizo zitatokana na zawadi mbalimbali kutoka kwa CAF, Azam, Sportpesa, Haier, Goli la Mama, mauzo ya jezi n.k

Wanasimba wenzangu kama Yanga wanaweza kutwaa fedha zote hizi ni wazi kuwa hata Simba tukifanya usajili makini tutakuwa tunaingiza hizi fedha,
Na Mo Dewji na timu yake azingatie usajili mzuri tu na wala atakuwa halalamiki tena kuhusu hasa
Pongezi kwa Yanga kutokana na ubora wao. Hakika wamestahili
 
Vizuri, zitaleta ushindani msimu ujao. Ila zimepatikana vipi? Nini kimeleta nn mpaka lufikia B11.
 
Hizi team za kariakoo sio za kuziamini sana!

Ila Kwa sasa yanga wapo vizuri kuanzia uongozi mzima hadi ndani ya pitch, naona wamedhamiria kufanya makubwa
 
Back
Top Bottom