Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Club ya Yanga itatwaa zaidi ya bilioni 11 msimu huu endapo itashinda makombe ya Ligi Kuu, FA, na CAF Shirikisho.
Fedha hizo zitatokana na zawadi mbalimbali kutoka kwa CAF, Azam, Sportpesa, Haier, Goli la Mama, mauzo ya jezi n.k
Wanasimba wenzangu kama Yanga wanaweza kutwaa fedha zote hizi ni wazi kuwa hata Simba tukifanya usajili makini tutakuwa tunaingiza hizi fedha.
Na Mo Dewji na timu yake azingatie usajili mzuri tu na wala atakuwa halalamiki tena kuhusu hasara