Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Eti Bilioni 11. Uandishi wa habari umevamiwa na wahuni, kila mtu anajiandikia na anasema anachotaka.View attachment 2630301
Club ya Yanga itatwaa zaidi ya bilioni 11 msimu huu endapo itashinda makombe ya Ligi Kuu, FA, na CAF Shirikisho
Fedha hizo zitatokana na zawadi mbalimbali kutoka kwa CAF, Azam, Sportpesa, Haier, Goli la Mama, mauzo ya jezi n.k
Wanasimba wenzangu kama Yanga wanaweza kutwaa fedha zote hizi ni wazi kuwa hata Simba tukifanya usajili makini tutakuwa tunaingiza hizi fedha,
Na Mo Dewji na timu yake azingatie usajili mzuri tu na wala atakuwa halalamiki tena kuhusu hasara
Timu bora kuliko zote kusini mwa jangwa la sahara kuwa sasa
Pongezi kwa Yanga kutokana na ubora wao. Hakika wamestahiliView attachment 2630301
Club ya Yanga itatwaa zaidi ya bilioni 11 msimu huu endapo itashinda makombe ya Ligi Kuu, FA, na CAF Shirikisho
Fedha hizo zitatokana na zawadi mbalimbali kutoka kwa CAF, Azam, Sportpesa, Haier, Goli la Mama, mauzo ya jezi n.k
Wanasimba wenzangu kama Yanga wanaweza kutwaa fedha zote hizi ni wazi kuwa hata Simba tukifanya usajili makini tutakuwa tunaingiza hizi fedha,
Na Mo Dewji na timu yake azingatie usajili mzuri tu na wala atakuwa halalamiki tena kuhusu hasa
Unabisha nini sasaEti Bilioni 11. Uandishi wa habari umevamiwa na wahuni, kila mtu anajiandikia na anasema anachotaka.
Embu nipe mkeka hiyo bil 11 imefikaje?Unabisha nini sasa
Eti Bilioni 11. Uandishi wa habari umevamiwa na wahuni, kila mtu anajiandikia na anasema anachotaka.
Eti Bilioni 11. Uandishi wa habari umevamiwa na wahuni, kila mtu anajiandikia na anasema anachotaka.
Wakati mwingine muwe mnajitahidi kuficha machukizo yenu kwa timu ya Wananchi.ALAFU inapiga BOMU MOCHWALI.
Na. KIBU anajikandia
Tupeni huo mkeka wa bilioni 11 acheni mbambambaWakati mwingine muwe mnajitahidi kuficha machukizo yenu kwa timu ya Wananchi.
Tupeni huo mkeka wa bilioni 11 acheni mbambamba.Sasa Unabisha Nini Mzee Mbona Kama ushabiki unakushinda
Wakati mwingine muwe mnajitahidi kuficha machukizo yenu kwa timu ya Wananchi.
Umeamua kuchagua maumivu na mimi nasema endelea kuumiaEti Bilioni 11. Uandishi wa habari umevamiwa na wahuni, kila mtu anajiandikia na anasema anachotaka.
Acha uvivu kasome gazetiHebu liwekwe jedwali la hizo pesa tuone kama zinafika 11 b.