Yanga kuvuna zaidi ya bilioni 11 msimu huu kama zawadi ya kutwaa makombe. Ni zaidi ya nusu ya uwekezaji wa Mo Dewji Simba

Upumbavu wa nchi hii, utasikia.mwakani wanatembeza bakuli
 
Vizuri, zitaleta ushindani msimu ujao. Ila zimepatikana vipi? Nini kimeleta nn mpaka lufikia B11.
We unadhani wanajua zimefikaje bilioni 11 na kwanini sio 10 au 12. Hata wao hawajui mwishowe watakwambia una wivu
 
Naunga mkono hoja
 
Ungeweka mchanganuo wa hiyo 11b ingesaidia... Vimbaaaa mwananchi
 
Hii lugha ya GOLI LA MAMA inabidi ichunguzwe,haijakaa vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…