Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCC Bil 4.7Tupeni huo mkeka wa bilioni 11 acheni mbambamba.
CCC Bil 4.7
Hier bil 1.5
Sportpesa Bil 3
Azam + FA + NBC Bil 2
Total Bill 11
Nq Kibu mwenyewe ni gari la mkaa anaonekana mechi 1 baada ya mechi 10 ndiyo tena anajipigia, hatukuonewa kabisa kuitwa Mbumbumbu na Aden Rage [emoji1]ALAFU inapiga BOMU MOCHWALI.
Na. KIBU anajikandia
We unadhani wanajua zimefikaje bilioni 11 na kwanini sio 10 au 12. Hata wao hawajui mwishowe watakwambia una wivuVizuri, zitaleta ushindani msimu ujao. Ila zimepatikana vipi? Nini kimeleta nn mpaka lufikia B11.
Kazi ipo. HahahaWe unadhani wanajua zimefikaje bilioni 11 na kwanini sio 10 au 12. Hata wao hawajui mwishowe watakwambia una wivu
Naunga mkono hojaView attachment 2630301
Club ya Yanga itatwaa zaidi ya bilioni 11 msimu huu endapo itashinda makombe ya Ligi Kuu, FA, na CAF Shirikisho
Fedha hizo zitatokana na zawadi mbalimbali kutoka kwa CAF, Azam, Sportpesa, Haier, Goli la Mama, mauzo ya jezi n.k
Wanasimba wenzangu kama Yanga wanaweza kutwaa fedha zote hizi ni wazi kuwa hata Simba tukifanya usajili makini tutakuwa tunaingiza hizi fedha,
Na Mo Dewji na timu yake azingatie usajili mzuri tu na wala atakuwa halalamiki tena kuhusu hasara
Ila Eng alisema bajeti ya huu msimu ni bilioni 23, kwahiyo Bado ni hasara.Taarifa inasema zawadi za bilioni 11, una uhakika hizo ulizoorodhesha zote ni zawadi na bonus?
Labda ni pamoja na usajiliIla Eng alisema bajeti ya huu msimu ni bilioni 23, kwahiyo Bado ni hasara.
Ungeweka mchanganuo wa hiyo 11b ingesaidia... Vimbaaaa mwananchiView attachment 2630301
Club ya Yanga itatwaa zaidi ya bilioni 11 msimu huu endapo itashinda makombe ya Ligi Kuu, FA, na CAF Shirikisho.
Fedha hizo zitatokana na zawadi mbalimbali kutoka kwa CAF, Azam, Sportpesa, Haier, Goli la Mama, mauzo ya jezi n.k
Wanasimba wenzangu kama Yanga wanaweza kutwaa fedha zote hizi ni wazi kuwa hata Simba tukifanya usajili makini tutakuwa tunaingiza hizi fedha.
Na Mo Dewji na timu yake azingatie usajili mzuri tu na wala atakuwa halalamiki tena kuhusu hasara