CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Simba ilipojitoa Kagame cup na kusema wanawapa mapumziko wachezaji ya siku 10 then wanaenda kambi Misri kulikuwa na kebehi za kutosha kwamba wamewakimbia Yanga ambao walisema watashiriki michezo hiyo inayoanza tarehe 1 August.
Cha kushangaza inasemekana watatoa mapumziko ya week mbili na wachezaji wengine watabaki kwa ajili ya Kagame.
Ina maana kuna wachezaji kikosi A watabaki DSM? Maana ya pre season ni nini sasa?
Kama ni team ya vijana hata Simba walikuwa na option hiyo ila bora kujitoa kuliko kuja kugongeshwa magoli na kuanza kujitetea walikuwa ni madogo, hakuna hiyo watakuwa wamevaa nembo ya klabu na kama kuna wachezaji wa team A wataambiwa wacheze Kagame bila kwenda likizo kisaikolojia mtakuwa mmewakosea sana hata kama ni bench warmers.