Yanga kuweni makini , mlikoenda Taifa Stars ilitandikwa 7 - 0

Simba siku hizi wamehamia mezani, mpira wa uwanjani ubingwa watausikia redioni tu.
Sio simba tu hata ulaya ipo, msimu kombe la mfalme hispania Reala Madrid ilitolewa kwenye mashindo kwa kosa la kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano. Tatizo lenu mkishaitwa chura basi na uwezo wenu wa kufukiri unakua kama wa chura.
 
Nafikir bora kuadhib kwa kuiondoa club mashindanon kuliko kupokana points... cuz Kagera sugar wako kwenye comfort zone adhab hii haiwashikish adab kwa next season [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…