last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Ila me naona kama wamejitahidi nilidhani watapigwa nane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio simba tu hata ulaya ipo, msimu kombe la mfalme hispania Reala Madrid ilitolewa kwenye mashindo kwa kosa la kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano. Tatizo lenu mkishaitwa chura basi na uwezo wenu wa kufukiri unakua kama wa chura.Simba siku hizi wamehamia mezani, mpira wa uwanjani ubingwa watausikia redioni tu.
Nafikir bora kuadhib kwa kuiondoa club mashindanon kuliko kupokana points... cuz Kagera sugar wako kwenye comfort zone adhab hii haiwashikish adab kwa next season [emoji3]Sio simba tu hata ulaya ipo, msimu kombe la mfalme hispania Reala Madrid ilitolewa kwenye mashindo kwa kosa la kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano. Tatizo lenu mkishaitwa chura basi na uwezo wenu wa kufukiri unakua kama wa chura.