kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye kora online. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao na Asec Mimosas.
Na jana nilicheki replay ya game yao na Wydad. Rivers hawana mpira wa kutisha saana kivile ila langoni kwao wanakuwa kama wameweka kitu fulani kama mpirani ni uchiwi basi sinabudi kusema Rivers wanajua vizuri kuroga langoni kwao.
Mechi ya rivers na Asec Mimosas, walipata nafasi za wazi karibia tano lakini hakuna hata moja ambayo ilikwenda Langoni zaidi ya kutoka nje. Pia Motema Pembe nao hivyo hivyo.
Mwisho kabisa nisiwe shabiki saana Simba watawatowa wydad hawana mpira wa kutisha saana.