Yanga kuweni makini na Rivers United

Yanga kuweni makini na Rivers United

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye kora online. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao na Asec Mimosas.

Na jana nilicheki replay ya game yao na Wydad. Rivers hawana mpira wa kutisha saana kivile ila langoni kwao wanakuwa kama wameweka kitu fulani kama mpirani ni uchiwi basi sinabudi kusema Rivers wanajua vizuri kuroga langoni kwao.

Mechi ya rivers na Asec Mimosas, walipata nafasi za wazi karibia tano lakini hakuna hata moja ambayo ilikwenda Langoni zaidi ya kutoka nje. Pia Motema Pembe nao hivyo hivyo.

Mwisho kabisa nisiwe shabiki saana Simba watawatowa wydad hawana mpira wa kutisha saana.
 
Ninachowaza ni Yanga kukeep aggrigate huko Nigeria ndo shida inaweza kuwa hapo japo na Simba njia ya kuingia semis ni kumfunga Wydad si chini ya goli 3 hapa bongo japo Pablo Franco naona angewamudu sana hawa waarabu kwa style yake kiuchezaji nikikumbuka alivyozichanga karata zake dhidi ya Orlando huku ana striker butu kuwahi kutokea huwa nampa heshima yake tu ila yote kwa yote atakayetumia nafasi atakazozipata ndiye ataondoka kwenda semis

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
IMG-20230406-WA0017.jpg
 
Hakuna timu inashindaga nigeria zaidi ya simba mkuu,kule ni kugumu kama sudan.
 
Kitamchomkuta Rivers na Wydad kitamkuta. WAKITAKA WATATOKA WASIPOTAKA WATATOKA.
 
Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye kora online. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao na Asec Mimosas.

Na jana nilicheki replay ya game yao na Wydad. Rivers hawana mpira wa kutisha saana kivile ila langoni kwao wanakuwa kama wameweka kitu fulani kama mpirani ni uchiwi basi sinabudi kusema Rivers wanajua vizuri kuroga langoni kwao.

Mechi ya rivers na Asec Mimosas, walipata nafasi za wazi karibia tano lakini hakuna hata moja ambayo ilikwenda Langoni zaidi ya kutoka nje. Pia Motema Pembe nao hivyo hivyo.

Mwisho kabisa nisiwe shabiki saana Simba watawatowa wydad hawana mpira wa kutisha saana.

This time Gongowazi wana quality players no doubts na system yao kiuchezaji imekubali, kila mchezaji anaelewa njia ya mwenzake..
kilochobaki ni kuwa football inamatokeo ya kikatili lkn kimahesabu wasindwe wao tu kuchanga karata zao vyema
 
Usiwastue hawa wapuuzi wacha wakamanuliwe nje ndani

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
This time Gongowazi wana quality players no doubts na system yao kiuchezaji imekubali, kila mchezaji anaelewa njia ya mwenzake..
kilochobaki ni kuwa football inamatokeo ya kikatili lkn kimahesabu wasindwe wao tu kuchanga karata zao vyema
Wana Quality players nobody deny it, lakini to be fair sijaona mpinzani mgumu ambaye Yanga amekutana naye ili tupate kipimo halisi cha uimara wake.
 
Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye kora online. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao na Asec Mimosas.

Na jana nilicheki replay ya game yao na Wydad. Rivers hawana mpira wa kutisha saana kivile ila langoni kwao wanakuwa kama wameweka kitu fulani kama mpirani ni uchiwi basi sinabudi kusema Rivers wanajua vizuri kuroga langoni kwao.

Mechi ya rivers na Asec Mimosas, walipata nafasi za wazi karibia tano lakini hakuna hata moja ambayo ilikwenda Langoni zaidi ya kutoka nje. Pia Motema Pembe nao hivyo hivyo.

Mwisho kabisa nisiwe shabiki saana Simba watawatowa wydad hawana mpira wa kutisha saana.
Umenena vema, mpira una mambo sana, watu wasiwe na matokeo vichwani mwao matokeo yakawa kinyume chake.

Vilabu vyetu vijiandae wacheze kwa jihad ili watinge nusu final.
 
Vilabu vyetu vijiandae wacheze kwa jihad ili watinge nusu final
Hakuna timu inashindaga nigeria zaidi ya simba mkuu,kule ni kugumu kama sudan.
Aproch ya Yanga lazima ibadilike haswa
 
Back
Top Bottom