Kiukweli huu mwenendo wa timu yangu penda si stahiki kabisa.. Yaan sasa mmeamua kugawa tu oroda kwa kila timu, hata timu za vichochoroni kama Prison..
Mnatutukanisha kabisa shabiki zenu huku mitaani, maana hawa Mikia SC wanavyotutambia hata kujamba hatujambi. Ni mechi ya 4 kama si ya 5 hii, ni mwendo wa kufungwa/kusuluu...
Duuuuh Duuuh Duuuuh....!!!