Yanga, kwa hiyo mmeamua kugawa uroda tu

Yanga, kwa hiyo mmeamua kugawa uroda tu

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Kiukweli huu mwenendo wa timu yangu penda si stahiki kabisa.. Yaan sasa mmeamua kugawa tu oroda kwa kila timu, hata timu za vichochoroni kama Prison..
Mnatutukanisha kabisa shabiki zenu huku mitaani, maana hawa Mikia SC wanavyotutambia hata kujamba hatujambi. Ni mechi ya 4 kama si ya 5 hii, ni mwendo wa kufungwa/kusuluu...
Duuuuh Duuuh Duuuuh....!!!
 
Hii vyura fc muda si mrefu watasambaratika, Kila mtu achukue chake!
 
Back
Top Bottom