Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 717
- 666
Uwanja upi?,Uhuru au?Mi nipo uwanjani hapa mapengo ka yote afu unasema uwanja umejaa?
Weka pichaMi nipo uwanjani hapa mapengo ka yote afu unasema uwanja umejaa?
Jiulize wewe Utopolo.….Harmonize ni nani wewe utopolo?
Jamani, jamani, jamani hii Yanga Day Imetisha!!!!!
Yanga kweli ni kiboko yao Kwanza imejaza uwanja watu wamefurika mpaka nafasi hakuña wengine wamebaki nje ukilinganisha na Simba day uwanja ulipwaya Sana.
View attachment 1553434
Mambo ya utopolo hayo...
Eeh bana..namuona akazugazuga pale sema nini,jamaa kaumia,kajikaza tu afanyeje ila usiku huu hatalala..🤔Inabidi ukitoka hapo akapimwe alivyoanguka wamshauli akachek X-ray
Utopolo ni kina nani kama si Vyura?Jiulize wewe Utopolo.….
Vyura wakipiga kelele mtoni Simba hanywi majiUtopolo ni kina nani kama si Vyura?
Mnyero fc kwenda zako huko na wivu wako wa kikeMi nipo uwanjani hapa mapengo ka yote afu unasema uwanja umejaa?
Dah!...pole sana kwake..Eeh bana..namuona akazugazuga pale sema nini,jamaa kaumia,kajikaza tu afanyeje ila usiku huu hatalala..🤔
Dah!...pole sana kwake..Eeh bana..namuona akazugazuga pale sema nini,jamaa kaumia,kajikaza tu afanyeje ila usiku huu hatalala..🤔
Kwa sababu ni marayako ya kwanza kuona, Yanga imekutoa tongotongo. Hakuna shida pale hata mazoezini amedondoka mita 10 bila maumivu.Inabidi ukitoka hapo akapimwe alivyoanguka wamshauli akachek X-ray