Embu tulia kwanza, yaani umekaa chini ukafikiri kwa kina ndio ukaibuka na hoja hii?Amesahau kazi yake. Kasahau kwamba yeye ni msemaji wa Simba. Kutwa kucha kinywa chake kinatamka Yanga. Post zake zote za Facebook na Instagram, ni Yanga tu...
Ameruhusu mapovu yawatoke[emoji23]Bint embu tulia kwanza, yaani umekaa chini ukafikiri kwa kina ndio ukaibuka na hoja hii?
Nafikiri yeye ndio ametokwa na povuAmeruhusu mapovu yawatoke[emoji23]
Ndiyo maana kuelekea wikend ya kimataifa japo inaongoza goli 2-0 ugenini ila yanga ndo inazungumzwa sana kuliko simbaAmesahau kazi yake. Kasahau kwamba yeye ni msemaji wa Simba. Kutwa kucha kinywa chake kinatamka Yanga. Post zake zote za Facebook na Instagram...
akili zake finyuAmesahau kazi yake. Kasahau kwamba yeye ni msemaji wa Simba. Kutwa kucha kinywa chake kinatamka Yanga. Post zake zote za Facebook na Instagram, ni Yanga tu. Iwe kwa kejeli au matusi. Iwe kwa kumsifu mchezaji wa upande wake, lazima Yanga itajwe. Hongera Ali Kamwe umepata msaidizi.
Mdogo wangu Ali Kamwe, mbinu hii ya kumtumia adui, imekubeba na kuibeba Yanga kinoma. Hongera. Huu mtego wako, umenasa hata mashabiki wao. Hawajijui na hawajui kwamba wametegwa wakategeka. Ama kweli Prezda Hersi ni msomi kweli. Keep it up.
Povu ruksaaaa
Naunga mkono hojaAmesahau kazi yake. Kasahau kwamba yeye ni msemaji wa Simba. Kutwa kucha kinywa chake kinatamka Yanga. Post zake zote za Facebook na Instagram, ni Yanga tu. Iwe kwa kejeli au matusi. Iwe kwa kumsifu mchezaji wa upande wake, lazima Yanga itajwe. Hongera Ali Kamwe umepata msaidizi.
Mdogo wangu Ali Kamwe, mbinu hii ya kumtumia adui, imekubeba na kuibeba Yanga kinoma. Hongera. Huu mtego wako, umenasa hata mashabiki wao. Hawajijui na hawajui kwamba wametegwa wakategeka. Ama kweli Prezda Hersi ni msomi kweli. Keep it up.
Povu ruksaaaa
Mbona wewe ndio unatoa povu.Amesahau kazi yake. Kasahau kwamba yeye ni msemaji wa Simba. Kutwa kucha kinywa chake kinatamka Yanga. Post zake zote za Facebook na Instagram, ni Yanga tu. Iwe kwa kejeli au matusi. Iwe kwa kumsifu mchezaji wa upande wake, lazima Yanga itajwe. Hongera Ali Kamwe umepata msaidizi.