hewamkaa
Member
- Mar 30, 2023
- 85
- 127
Amesahau kazi yake. Kasahau kwamba yeye ni msemaji wa Simba. Kutwa kucha kinywa chake kinatamka Yanga. Post zake zote za Facebook na Instagram, ni Yanga tu. Iwe kwa kejeli au matusi. Iwe kwa kumsifu mchezaji wa upande wake, lazima Yanga itajwe. Hongera Ali Kamwe umepata msaidizi.
Mdogo wangu Ali Kamwe, mbinu hii ya kumtumia adui, imekubeba na kuibeba Yanga kinoma. Hongera. Huu mtego wako, umenasa hata mashabiki wao. Hawajijui na hawajui kwamba wametegwa wakategeka. Ama kweli Prezda Hersi ni msomi kweli. Keep it up.
Povu ruksaaaa