Mbumbu mnashida sana, Ebu weka ushahidi ili uaminike.Yanga ni wasahaulifu au tuseme hawana shukurani, kipindi ligi inaanza walikuwa na hali mbaya sana kiuchumi, kutokana na ukata uliokithiri TFF ikaamua kuwasaidia kuanza kucheza Dar Mechi zaidi ya kumi ili kuwapungumzia mzigo wa kusafiri mikoani, lakin leo wanaitukana TFF na kusema wanaibeba Simba, haya ni maajabu.
Ndio maana wanaitwa mbumbumbu hawaangalii facts Dar Kuna timu wenyeji nyingi pia mfano simba, Lyon, kmc, jkt,azam, etc kwahiyo unajikuta unacheza sana Dar kuna wakati.Yanga ratiba yake ilikuwa waanzie Kanda ya ziwa.. Amunike akaita wachezaji Stars.. Ndio maana tukacheza mechi nyingi Taifa ila Kati ya hizo nyingine hatukuwa mwenyeji