kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Yanga ni wasahaulifu au tuseme hawana shukurani, kipindi ligi inaanza walikuwa na hali mbaya sana kiuchumi, kutokana na ukata uliokithiri TFF ikaamua kuwasaidia kuanza kucheza Dar Mechi zaidi ya kumi ili kuwapungumzia mzigo wa kusafiri mikoani, lakin leo wanaitukana TFF na kusema wanaibeba Simba, haya ni maajabu.