Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
onyo la caf ndo nini,lini caf walikua wakali kwa timu za waarabu?Teyari wana onyo la CAF.
Hivi hawa Wasudan mnawakweza sana! Eti Waarabu!! Yaani kwa sababu wanaongea Kiarabu, basi ni Waarabu!onyo la caf ndo nini,lini caf walikua wakali kwa timu za waarabu?
hivi unajua lile goli la Mayele la offside ingekua timu ya waarabu ya huko kaskazini lingekubaliwa?
jana kuna timu ya waarabu wamepewa penat ya mchongo dk za mwisho ili tu waende makundi.
"Taifa Stars" yao itachagua hapo hapo Sudan tu. Lakini vilabu hua vina uhuru wa kuchagua/kusajili popote.Hivi hawa Wasudan mnawakweza sana! Eti Waarabu!! Yaani kwa sababu wanaongea Kiarabu, basi ni Waarabu!
Halafu hawana jipya eti. Maana wanafungika tu. Imagine timu mbovu kama Taifa Stars iliwahi kuifunga timu yao ya Taifa, mara kadhaa na kufuzu CHAN! Iweje timu imara na unbeaten kama Yanga ishindwe kuwafunga?
timu ngumu ndo maana Lupaso hawakufungika na goli walichomoa,nimeuliza goli la Mayele wangekua wao lingekubaliwa.Hivi hawa Wasudan mnawakweza sana! Eti Waarabu!! Yaani kwa sababu wanaongea Kiarabu, basi ni Waarabu!
Halafu hawana jipya eti. Maana wanafungika tu. Imagine timu mbovu kama Taifa Stars iliwahi kuifunga timu yao ya Taifa, mara kadhaa na kufuzu CHAN! Iweje timu imara na unbeaten kama Yanga ishindwe kuwafunga?