Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 582
Pole sana ndg ss utatupenda mwishoni kaeni mkao wa Kula wana simbaKwa mara ya kwa toka ligi ianze msimu wa 2017-2018 timu yanga leo itapata nafasi ya kuchukua uongozi wa ligi kwa kuifunga timu ya Stend United ya Shinyanga .
Yanga inahitaji ushindi magili 14-0 ili ingoze ligi
HahahaLeo mtaroga sana na kuhonga ili mshinde hiyo mechi
HaswaaaaRaha kufika mwishoni.