Yanga leo kuongoza ligi

Yanga leo kuongoza ligi

Sadiki Abdallah

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
885
Reaction score
582
Kwa mara ya kwa toka ligi ianze msimu wa 2017-2018 timu yanga leo itapata nafasi ya kuchukua uongozi wa ligi kwa kuifunga timu ya Stend United ya Shinyanga .
Yanga inahitaji ushindi magili 14-0 ili ingoze ligi
 
Leo mtaroga sana na kuhonga ili mshinde hiyo mechi
 
Kwa mara ya kwa toka ligi ianze msimu wa 2017-2018 timu yanga leo itapata nafasi ya kuchukua uongozi wa ligi kwa kuifunga timu ya Stend United ya Shinyanga .
Yanga inahitaji ushindi magili 14-0 ili ingoze ligi
Pole sana ndg ss utatupenda mwishoni kaeni mkao wa Kula wana simba
 
Hahahahaha inaonesha mtoa mada hakuwa makin kwenye IMLA.magili>magoli
 
Back
Top Bottom