OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wanakoswa hapa,hurumaWanaweza wasibahatishe sare leo, wakaambulia kichapo
Nahis meneja wa TANESCO huku nilipo nimshabiki wa yanga ameamua kutuzimia umeme dakika ya 75 hataki tuendelee kuangalia wananchi wanavyozalilika87' Coastal 0- Yanga 0
Safi sana endelea kutujuza mkuu90' Coastal 0- Yanga 0
Add 5'
Ahahahahaha hizi sare lazima wafungue bendiFT Coastal 0- Yanga 0
Sare ni dabo dabali, Mechi nne point 4