Yanga leo mmeitosa timu yenu hapa JF

Yanga leo mmeitosa timu yenu hapa JF

Timu ya wananchi inacheza jamani, cha ajabu leo hata ka uzi kakuonesha kuwa wananchi wapo mawindoni hamna, ivi nyie, Yanga ni timu yenu ikiwa na matokeo mazuri tu? mmekimbia leo kwenda wapi au hamkuwa na ratiba? rudini muanzishe uzi, leo ushindi upo. cc shadeeya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mna tabu nyie. Kwani mkianzisha Watani zetu kuna ubaya gani?
 
20200224_081427.jpg
HUWA YAPO HAYA MAMBO JAMANI 😂

CC. Troisième Ceil
 
nasikia walifurahia SARE ya simba mkuu, kwa nini hizi sare nne wanaziona chungu? mi naona waendelee na wembe ule ule, make sare kwa simba waliona ni ushindi, na hizi pia ni kama ushindi kwa hiyo waendelee kufurahi tu.
Wazee wa historia,watu tunaenda mbele nyie mnarudi nyuma. Hiyo slogan yenu ya nyuma mwiko ina maana gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom