Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ndio. Hutaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio. Hutaki?
Ila mna tabu nyie. Kwani mkianzisha Watani zetu kuna ubaya gani?Timu ya wananchi inacheza jamani, cha ajabu leo hata ka uzi kakuonesha kuwa wananchi wapo mawindoni hamna, ivi nyie, Yanga ni timu yenu ikiwa na matokeo mazuri tu? mmekimbia leo kwenda wapi au hamkuwa na ratiba? rudini muanzishe uzi, leo ushindi upo. cc shadeeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu haya yote mnayaona nyie 5imba. 🤔🤔
🤣🤣🤣🤣🤣YANGA akili kubwa, kuna uzi wa Yanga hapa ndio tunapeana update, mambo ya kuanzisha uzi kila mechi ni ushamba
Mbali na yote Mtani hamchoki kutuangalia. LolAnatoka striker anaingia beki,Yanga hii ina vituko
Hahahaaaa. Ukajua litakuwa goli mwenyewe. LolCoastal wanapata free kick,karibu na 18
Mtani kama ni shughuli jana ilikupata. 😂😂Yanga wachezaji wamekataaa kuzungumza na Azam Tv,taarifa rasmi inatolewa hapa katika hali ya kusikitisha kabisa
Nashangaa wachezaji wa Yanga kugomea kuongelea mchezo wakat uwezo wao ndio mwisho kwa coast union.Hii timu inamdomo sana ila mpira hamna zaidi ya kufuga wapiga ngeta
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani hajui. Anajitoa ufahamu tu hapa.Mechi ya Yanga na Simba ni derby, wanapokutana takwimu hazileti maana kubwa kama Simba yenye ubora inapocheza na timu nyinginezo kwenye ligi.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
FT Coastal 0- Yanga 0
Sare ni dabo dabali, Mechi nne point 4
Wazee wa historia,watu tunaenda mbele nyie mnarudi nyuma. Hiyo slogan yenu ya nyuma mwiko ina maana gani
Wazee wa historia,watu tunaenda mbele nyie mnarudi nyuma. Hiyo slogan yenu ya nyuma mwiko ina maana gani
Mtani kama ni shughuli jana ilikupata. [emoji23][emoji23]
Ila mna tabu nyie. Kwani mkianzisha Watani zetu kuna ubaya gani?
Siku hizi Mikia wanafungua thread za kujitekenya na kucheka wenyewe. Endeleeni tu
Wazee wa sare za harusi
Shadeeya naomba ukanichagulie nzuri