kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Alaa kumbe leo haichezi yanga kanacheza kayangaMechi ya under 20 mzee..... Sio timu ya wakubwa
inachosha, wachezaji wa Yanga wanakimbia kimbia tuWanasubiri OKW BOBAN SUNZU aanzishe uzi
inachosha, wachezaji wa Yanga wanakimbia kimbia tuWanasubiri OKW BOBAN SUNZU aanzishe uzi
Ulitaka watembee tembee tuinachosha, wachezaji wa Yanga wanakimbia kimbia tu
Kuna habari gani huko?inachosha, wachezaji wa Yanga wanakimbia kimbia tu
Okw Boban Sunzu kawasusa kuwaanzishia uzi,wanarukaruka tu uwanjani.Wanasubiri OKW BOBAN SUNZU aanzishe uzi
dhidi ya Gwambina? haaa haaaa we mwenyewe huamini. Nendeni mkachukue kombe basi baada ya kuua hiyo maitiKuna habari gani huko?